Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,477
- 6,493
At least nimekutana na comment yenye akiliMkuu umewahi kuomba kwenye hizi kampuni za auditing? Au kampuni zingine related?
USHAURI WANGU
Kama unaweza pata mtaji hata wa 100k jaribu shughuli hizi ndogo ndogo ndogo wanaita shughuli za kijasiliamali uweze kwanza kupata ela ya kula na kulipa kodi, kwa sasa ondoa kabisaaaaa mawazo yakumiliki biashara kubwa kubwa target yako kwanza ni kuwa na uhakika wakula na kulipa kodi na vocha yakuingia JF kusoma nondo za GT,
Way back niliwahi kuishi kwa shughuli hizi na wateja unawapata mtandaoni trust me hukosi 10k faida kwa siku bila kuchoka