WanaJamii,
Natafuta shamba la eka 2 au 3 maeneo ya Mapinga au Kerege. Mwenye nalo au connection tafadhali niDM. Lire Karima na line ya même na pare na uhakika wa maji ya kwa kuchimba kisima kirefu (borehole).
Dr Riwa.
Tunafanya sensa mara moja tu kila baada ya miaka 10....na bado watu wanaona maswali mengi! Issue hapa ni maswali ya msingi, yatasaidia kutambua ukubwa wa mahitaji ya msingi, by the way...huhitaji haya certificate ya darasa la 7 kuyajibu!
Ahsante kwa mawazo yako mgando. Na haya ndiyo yanayorudisha nyuma maendeleo...kwama aukijua kitu basi uendekeze u-mimi:confused:, kwamba ni mimi tu najua..mimi tu can get it right...pathetic!
Bofya kwenye kitufe cha 'Search' hapo juu ya browser kulia, ingiza key word 'Nguruwe'...utapata list ya thread zote humu zinazohusu ufugaji wa Nguruwe, pamoja na majibu ya maswali yako mengi!!:(:(
Sijui. Lakini hata kama ni kubwa, si sababu ya kunyima watu ujuzi. Ujuzi unaweza ukashare bure, au ukatoza fedha/gharama. Tatizo ni kuwa wengi wa wafugaji wenye uzoefu wanabani hili, hata kwa fedha. Nimeshaomba wafugaji kadhaa kunifanyia kama consultancy nilipe, bado wazito.
Duh...kama ni hivyo kweli ni mwamba!!
Yaani hata kabla hajawahi kuwa Rais...aliamua nani awe Rais, na akawa!
Na baada ya kuachia uRais, badoaliamua nani awe Rai anayemfuatia, na akawa!!:rolleyes::rolleyes:
Nakushauri uende na Broiler.
Soko la kuku-chotara gumu sana. Nilifuga kuku-chotara (Kroiler, Sasso) nikiwa na lengo la kufika kuku 800, nilistop kwa kuku 300 baada ya kuwaingiza sokoni na kugundua soko kubwa ni la broiler na kuku-kienyeji pure, chotara walikuwa wanakataliwa. Wakaishia...
Hii issue imekuwa siri kubwa sana kwa wafugaji wa Nguruwe. Binafsi nimeshafanya efforts za kuwasiliana na wafugaji wa Nguruwe wakubwa tu, na hata kutembelea mashamba yao....watakujibu kuwa hiyo ndio success formula yao kwenye soko la nyama ya Nguruwe.
Sijui kwa nini kuna uguu wa kushirikishana...
Nimeshaona kwenye platform nyingi, ukitokea mjadala kuhusu ajali barabarani kwa wakimbiaji/wafanya jogging/mazoezi, mara zote shutuma na pia shauri zinazotoka ni kwa wakimbiaji tu. Kwa nini watu hawaoni pia uzembe wa madereva wanasababisha hizo ajali? Kwa nini hazitolewi pia shauri kwa madereva...
Samahani Researcher, sijaona sehemu umereflect bei ya mbegu/miche. Je, bei ya miche ya kisasa iliyo tayari kupandwa shambani inauzwa sh. ngapi kwa mche au sh. ngapi kwa hekari (ulisema hekari moja inaingia miche 3500 - 5000 kutgemea na style unayopanda (mraba mmoja/miwili)?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.