Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

Jambo hili kiusalama ni muhimu sana lakini wengi hawalijui. Wakimbiaji na watembea kwa miguu wanapaswa kuwa upande wa kulia wa barabara, ili wayaone magari yaliyo karibu nao. Kutembea au kukimbia ukiwa kushoto ni hatari sana, kwani magari yatokayo nyuma yako mko nayo pamoja upende huo.
Upo sahihi mkuu. Wakati marehemu James Kombe akiwa ni kamanda wa kikosi cha trafiki alisema ni vizuri mtu ukiwa unatembea barabarani utembee upande wa kulia.
 
Nimeshaona kwenye platform nyingi, ukitokea mjadala kuhusu ajali barabarani kwa wakimbiaji/wafanya jogging/mazoezi, mara zote shutuma na pia shauri zinazotoka ni kwa wakimbiaji tu. Kwa nini watu hawaoni pia uzembe wa madereva wanasababisha hizo ajali? Kwa nini hazitolewi pia shauri kwa madereva wazembe kuwa makini, kujali watumiaji wengine wa barabara na kufuata sheria? Kwa nini shauri pia hazielekezwi kwa mamlaka husika, hasa Polisi, kuhimiza na kusimamia ufuataji wa sheria za barabarani?

Tatizo hilo haliwezi kutatuliwa na wakimbiaji/wafanya jogging/mazoezi peke yao!!:(:mad:
 
Gym wala sio ishu!

Mazoezi mazuri ni yale yanayofanyika kwenye physical natural arena na sio kwenye hizo gym zenu.

Hiyo ni kutokana na taarifa za kitafiti.

Tembea ukiweza kimbia kwenye barabara za mtaani ambako hakuna magari au ni moja moja sana kupishana nayo.

Au hata kwenye hivyo viwanja vya mipira.
 
Wanao kimbia barabarani wanafanya Show-Off wanajifanya wazungu Earphones masikioni na mbwembwe nyingine nyingi tu... Unatoka nyumban unaacha jirani yako kuna uwanja wa mpira kwanin usifanyie mazoez hapo..? Ila unataka ukakimbie barabarani dakika 10 urudi home...
😎 ILA UKWELI NI KWAMBA UKIONA MWANAUME ANAKIMBIA KIMBIA JIONI UJUE NGUVU ZIMEPUNGUA ANAJIBUSTI NGUVU ZIRUDI😂
unakili ya kuendea choontu kenge we
 
Kimbia in opposite direction na uelekeo wa magari,,kaa upande wa magari yanayokuja mbele yako
Barabarani ni sehemu ambayo kama huna ulazima au sababu za kukufanya uwepo hapo basi kaa mbali napo.
Haijalishi upo upande upi bado madhara yanaweza kukufikia kwa urahisi sana, fikiria kuna gari kupoteza mwelekeo kwa kupasuka tyre etc na kukufuata ulipo, kuna kuchomoka tairi na taili hilo kukufuata, kuna mizigo mizito kudondoka kutoka kwenye gari n.k.
Kama ni biashara basi hatuna budi kuchagua maeneo ambayo ni salama kama vile magari kutopita kwa mwendokasi,na yenye alama za barabarani.
 
Ndugu zangu wafanya mazoezi pembezoni mwa barabara. Chukueni tahadhari hususani wakati wa alfajiri na jioni/usiku.

Nimepoteza rafiki wawili (mmoja Dar mwingine Mtwara) kwa ajali wakiwa mazoezini. Wameacha familia changa mno.

RIP
NB: Lipia gym uwe salama
Ni swala la kuchukua tahadhari tu na nature ya barabara yenyewe. Bara bara za kitzi hazina road reserve kwa watembea kwa miguu.

Lakini kama zipo jogging barabarani ni raha sana. Its a sport, it is a game.
 
Barabarani ni sehemu ambayo kama huna ulazima au sababu za kukufanya uwepo hapo basi kaa mbali napo.
Haijalishi upo upande upi bado madhara yanaweza kukufikia kwa urahisi sana, fikiria kuna gari kupoteza mwelekeo kwa kupasuka tyre etc na kukufuata ulipo, kuna kuchomoka tairi na taili hilo kukufuata, kuna mizigo mizito kudondoka kutoka kwenye gari n.k.
Kama ni biashara basi hatuna budi kuchagua maeneo ambayo ni salama kama vile magari kutopita kwa mwendokasi,na yenye alama za barabarani.
Mbona maduka yoote yako pnezoni mwa barabara? Tuhamie wapi sasa.

Hapa muhimu mi tahadhari kwa watumiaji wa barabara na waendesha vyombo pia
 
Wanao kimbia barabarani wanafanya Show-Off wanajifanya wazungu Earphones masikioni na mbwembwe nyingine nyingi tu... Unatoka nyumban unaacha jirani yako kuna uwanja wa mpira kwanin usifanyie mazoez hapo..? Ila unataka ukakimbie barabarani dakika 10 urudi home...
😎 ILA UKWELI NI KWAMBA UKIONA MWANAUME ANAKIMBIA KIMBIA JIONI UJUE NGUVU ZIMEPUNGUA ANAJIBUSTI NGUVU ZIRUDI😂
Mzoezi ni muhimu mkuu, kama hujawahi jaribu mkuu.
Unajiskia poa sana ukifanya mazoezi hasa kwa wenye kazi za kukaa eneo moja muda mrefu.
 
Nimeshaona kwenye platform nyingi, ukitokea mjadala kuhusu ajali barabarani kwa wakimbiaji/wafanya jogging/mazoezi, mara zote shutuma na pia shauri zinazotoka ni kwa wakimbiaji tu. Kwa nini watu hawaoni pia uzembe wa madereva wanasababisha hizo ajali? Kwa nini hazitolewi pia shauri kwa madereva wazembe kuwa makini, kujali watumiaji wengine wa barabara na kufuata sheria? Kwa nini shauri pia hazielekezwi kwa mamlaka husika, hasa Polisi, kuhimiza na kusimamia ufuataji wa sheria za barabarani?

Tatizo hilo haliwezi kutatuliwa na wakimbiaji/wafanya jogging/mazoezi peke yao!!:(:mad:
Barabara ni ya Magari

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mbona maduka yoote yako pnezoni mwa barabara? Tuhamie wapi sasa.

Hapa muhimu mi tahadhari kwa watumiaji wa barabara na waendesha vyombo pia
Maduka hayawi karibu na barabara kama ambavyo mtembea kwa miguu huwa, lkn pia yaliyojengwa karibu kabisa na barabara ni dhahiri yamekiuka sheria za usalama barabarani.
Lkn pia mimi nazungumzia sisi waenda kwa miguu ikiwemo hao walimbiaji.
 
Ni kweli maana wakimbiaji hawako tofauti na watembea kwa miguu. Kikubwa tahadhari kwa sote.
 
Mazoezi ni starehe kabisa kwa sisi tuliozoea. Tena kwenye road reserves. Ila sitasahau nilipokonywa simu barabarani na wahuni wa boda boda 6yrs ago hadi leo sichezi na simu barabarani
Aisee mwili unakua mwepesi mno, unajikuta jet lee 😊😊
 
Back
Top Bottom