Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

Jun 7, 2022
14
21
-Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Kipindi cha marejesho (Payback period)
1654950454633.png

1654950549852.png

Kilimo-Biashara
-Kilimo biashara ni nini?
Kilimo-Biashara ni neno moja linalo unganishwa na maneno mawili neno KILIMO na neno BIASHARA.

Ni shughuli ya kilimo inayo husisha matumizi bora ya elimu ya ujasiriamali katika kujipatia faida.

-Nguzo kuu 4 za kilimo biashara ni:
•Wazo sahihi
•Maarifa na uzoefu (Kilimo chenye tija kinahitaji maarifa na taarifa sahihi)
•Rasilimali (Ardhi, mtaji wa fedha nk)
•Juhudi ya kazi.

Gharama za kuzalisha mkonge ekari moja Kwa Mkulima Mdogo
- Uandaaji wa shamba:
Ø Kukata miti na kung’oa visiki ni sh. 100,000.00
Ø Kukusanya na kusafisha eneo ni sh. 50,000.00
Ø Kulima kwa trekta (Ploughing) ni sh. 60,000.00
Ø Kulainisha udongo (Harrowing) sh. 50,000.00
q Kupima shamba kwa ajili ya kupanda miche:
Ø Kukata mambo za kuweka vipimo vya shamba (Layout) sh. 10,000.00
Ø Kamba ya mkonge kilo 4 sh. 20,000.00
Ø Gharama ya kulipa wafanyakazi 2 sh. 30,000.00

Utunzaji wa shamba miaka mitatu ya kwanza

Ø Palizi kwa miaka 3 @250,000 sh.750.000.00
-Jumla ya gharama zote kabla ya kuvuna majani ya kwanza ni sh. 1,444,000.00

Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Kwa kawaida mavuno ya kwanza hupatikina kidogo (tani 0.4)
  • Jumla ya gharama za uzalishaji tangu kuanza kwa mradi ni sh. 1,444,000.00
  • Gharama za uvunaji kwa ekari sh.100,000.00
-Gharama ya usindikaji wa tani 1 ni sh. 400,000.00
-Wastani wa bei ya singa za mkonge ni sh. 3.5 milioni kwa tani 1
- Mauzo ya singa yataingiza sh. 1,400,000.00
-Faida baada ya kuondoa gharama za uwekezaji na uendeshaji kwa ekari ni sh. (544,000.00)

Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Mwaka 2 mavuno huongezeka kidogo (tani 0.8)
  • Jumla ya gharama za uzalishaji uthibiti wa magugu shambani ni sh. 250,000.00

  • Gharama ya usindikaji wa tani 1 ni sh. 400,000.00
  • Wastani wa bei ya singa za mkonge ni sh. 3.5 milioni kwa tani 1
  • Mauzo ya singa yataingiza sh. 2,800,000.00
-Faida baada ya kuondoa gharama za uwekezaji na uendeshaji kwa ekari ni sh. 1,294,000.00

Kipindi cha marejesho (Payback period)
-Mradi unatazamiwa kurejesha gharama zote za uwekezaji na kuanza kuingiza faida katika mwaka wa 2 wa ukataji majani (mwaka wa 4 tangu shamba kuanzishwa).
- Mkonge aina ya H.11648 huzeeka inapofikisha miaka 12-15, hivyo mkulima ataendelea kupata faida kubwa kwa kuwa gharama pekee atakazolipia ni utunzaji, ukataji na usindikaji.
 
-Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Kipindi cha marejesho (Payback period)
View attachment 2257362
View attachment 2257363

Samahani Researcher, sijaona sehemu umereflect bei ya mbegu/miche. Je, bei ya miche ya kisasa iliyo tayari kupandwa shambani inauzwa sh. ngapi kwa mche au sh. ngapi kwa hekari (ulisema hekari moja inaingia miche 3500 - 5000 kutgemea na style unayopanda (mraba mmoja/miwili)?
 
Agricultural Reseacher
 
1. Hujaweka bei ya Shamba

2. Bei ya miche/mbegu

3. Gharama za Palizi zinaonekana kuwa kubwa kuliko thamani ya ardhi ?????
 
Asante sana kwa uzi na mchanganuo, japo kuna baadhi ya vitu havijawekwa au gharama si halisia.
1. Gharama ya ardhi roughly kuanzia 200k, inategemea na wilaya/eneo
2. Gharama za kufyeka, kuchoma na kusafisha shamba na kung’oa visiki kwa eneo nilipo inaweza kufika hata 400k
3. Gharama ya kupima, kuchora, kamba, mambo na mtaalam nazo ziko juu kidogo
4. Wataalam wanashauri kuweka lime na mbolea kutokana na matokeo ya kipimo cha udongo. Kiasili hii hatufanyi hivyo unaweza ignore.
5. Gharama za mbegu: Mlingano mche mmoja 150 hivyo andaa km 300k kwa hekali.
6. Kupakia n kusafirisha na kushusha mbegu itategemea umbali
7. Gharama za kupanda huwa ni 250k kwa hectare hivyo heka ni km 100k. Hii ni kwa wilaya ya Muheza, Tanga.
8. Gharama za kumaintain shamba inaweza isifike hasa ukilima mseto na mazao ya muda mfupi km mahindi, alizet nk. Japo ukipata ugonjwa inaweza kufika au kuzidi. Km itashambuliwa na wanyama km kima, nyani au nguruwe pori ni tatizo jingine pia.

Soko: range ni hiyo kati ya 3-4k kwa kilo

Hayo ni machache kutokana na uzoefu wangu mdogo.
Narudisha mic kwako researcher
 
Kima wanakula mkonge?
 
-Gharama za kuzalisha mkonge kwa ekari moja
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Kipindi cha marejesho (Payback period)
View attachment 2257362
View attachment 2257363
Kilimo-Biashara
-Kilimo biashara ni nini?
Kilimo-Biashara ni neno moja linalo unganishwa na maneno mawili neno KILIMO na neno BIASHARA.

Ni shughuli ya kilimo inayo husisha matumizi bora ya elimu ya ujasiriamali katika kujipatia faida.

-Nguzo kuu 4 za kilimo biashara ni:
•Wazo sahihi
•Maarifa na uzoefu (Kilimo chenye tija kinahitaji maarifa na taarifa sahihi)
•Rasilimali (Ardhi, mtaji wa fedha nk)
•Juhudi ya kazi.

Gharama za kuzalisha mkonge ekari moja Kwa Mkulima Mdogo
- Uandaaji wa shamba:
Ø Kukata miti na kung’oa visiki ni sh. 100,000.00
Ø Kukusanya na kusafisha eneo ni sh. 50,000.00
Ø Kulima kwa trekta (Ploughing) ni sh. 60,000.00
Ø Kulainisha udongo (Harrowing) sh. 50,000.00
q Kupima shamba kwa ajili ya kupanda miche:
Ø Kukata mambo za kuweka vipimo vya shamba (Layout) sh. 10,000.00
Ø Kamba ya mkonge kilo 4 sh. 20,000.00
Ø Gharama ya kulipa wafanyakazi 2 sh. 30,000.00

Utunzaji wa shamba miaka mitatu ya kwanza

Ø Palizi kwa miaka 3 @250,000 sh.750.000.00
-Jumla ya gharama zote kabla ya kuvuna majani ya kwanza ni sh. 1,444,000.00

Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa I
-Kwa kawaida mavuno ya kwanza hupatikina kidogo (tani 0.4)
  • Jumla ya gharama za uzalishaji tangu kuanza kwa mradi ni sh. 1,444,000.00
  • Gharama za uvunaji kwa ekari sh.100,000.00
-Gharama ya usindikaji wa tani 1 ni sh. 400,000.00
-Wastani wa bei ya singa za mkonge ni sh. 3.5 milioni kwa tani 1
- Mauzo ya singa yataingiza sh. 1,400,000.00
-Faida baada ya kuondoa gharama za uwekezaji na uendeshaji kwa ekari ni sh. (544,000.00)

Tathmini ya mapato kwa mavuno ya mwaka wa II
-Mwaka 2 mavuno huongezeka kidogo (tani 0.8)
  • Jumla ya gharama za uzalishaji uthibiti wa magugu shambani ni sh. 250,000.00
  • Gharama za uvunaji kwa ekari sh.100,000.00
  • Gharama ya usindikaji wa tani 1 ni sh. 400,000.00
  • Wastani wa bei ya singa za mkonge ni sh. 3.5 milioni kwa tani 1
  • Mauzo ya singa yataingiza sh. 2,800,000.00
-Faida baada ya kuondoa gharama za uwekezaji na uendeshaji kwa ekari ni sh. 1,294,000.00

Kipindi cha marejesho (Payback period)
-Mradi unatazamiwa kurejesha gharama zote za uwekezaji na kuanza kuingiza faida katika mwaka wa 2 wa ukataji majani (mwaka wa 4 tangu shamba kuanzishwa).
- Mkonge aina ya H.11648 huzeeka inapofikisha miaka 12-15, hivyo mkulima ataendelea kupata faida kubwa kwa kuwa gharama pekee atakazolipia ni utunzaji, ukataji na usindikaji.
Mbegu mbona hujaweka?
 
Back
Top Bottom