Kikwete ndiye Mwamba wa Siasa za Tanzania. 1995 alimwachia Mkapa, 2005 akaingia mwenyewe na 2015 akatuletea Shujaa Magufuli na Samia

Huo ndio ukweli kama hutaki acha sikulazimishi

Mzee Kikwete ndiye Mwamba wa Siasa za Tanzania baada ya hayati mwalimu Nyerere

Wote tunajua JK ilikuwa awe Rais mwaka ule 1995 lakini CCM kupitia Nyerere ilimuomba amwachie Ben Mkapa

2005 akaingia yeye mwenyewe baada ya kumshinda kwa kura nyingi Freeman Mbowe wa Chadema

Lakini wakati anastaafu 2015 akatuachia Shujaa wa karne hayati Magufuli

Mungu wa mbinguni akubariki sana mzee Kikwete
Next atatuletea Jo🚶
 
Duh...kama ni hivyo kweli ni mwamba!!

Yaani hata kabla hajawahi kuwa Rais...aliamua nani awe Rais, na akawa!

Na baada ya kuachia uRais, badoaliamua nani awe Rai anayemfuatia, na akawa!!:rolleyes::rolleyes:
 
Huo ndio ukweli kama hutaki acha sikulazimishi

Mzee Kikwete ndiye Mwamba wa Siasa za Tanzania baada ya hayati mwalimu Nyerere

Wote tunajua JK ilikuwa awe Rais mwaka ule 1995 lakini CCM kupitia Nyerere ilimuomba amwachie Ben Mkapa

2005 akaingia yeye mwenyewe baada ya kumshinda kwa kura nyingi Freeman Mbowe wa Chadema

Lakini wakati anastaafu 2015 akatuachia Shujaa wa karne hayati Magufuli

Mungu wa mbinguni akubariki sana mzee Kikwete
Umesahau 2010 Dr Slaa akamuendesha puta akampiga akaiba kura!
Huyu anachoweza ni fitna tu siyo siasa! Marginal failure from BA economics undergraduate degree UDSM
 
Naendelea

2000 akiwa na Kundi lake la Wanamtandao alisimama na Amani Karume hadi akawa Rais japo alikuwa wa mwisho kwny kura za ndani ya Chama pale kisiwandui

2010 akavunja mwiko kwa kuhakikisha na Wapemba wanapata fursa ya kutoa Rais wa Znz japo Wahafidhina waliapa asilani abadan

2011 akang'oa Mbuyu kutoka Igunga uliokuwa tishio sana kwny Medani ya kiuchumi na kisiasa hapa nchini

2015 akatuletea Mgombea Urais kutoka mfukoni kwake

2015 akazuia harakati za kuzima Mapinduzi matukufu ya Znz ya 1964 kupitia Jemedari na Mtia nia wa Urais 2020 Ndugu Jecha
 
Marginal Failure kawagaraza Wanasiasa wako wote hata ambao hawajazaliwa, walio kwny Siasa, waliostaafu na hata waliokufa

Huyu Jakaya akiwa na 45 tu alimgaragaza Julius Kambarage Nyerere 1995 kupitia Benjamin Mkapa kule Kizota hadi ikatafutwa plan B
Umesahau 2010 Dr Slaa akamuendesha puta akampiga akaiba kura!
Huyu anachoweza ni fitna tu siyo siasa! Marginal failure from BA economics undergraduate degree UDSM
 
Huu ukweli utakuja kupingwa humu na watu wenye chuki na JK.

2015 EL na ujanja wake wote pamoja na swaiba wake RA walinyoosha mikono.

2005 pale Chimwaga BWM na utemi wake wote alitulizwa alipotaka SAS achukue kijiti.

1995 when he was young boy, but brought up and mentored by JKN, he was almost to turn the table. But Mzee JKN with his wisdom cool down the Young boy but he was also scared with that power from saigon boy.
Huyo EL unayemsema na R A ndio waliokuwa na Jk kuanzia hiyo 1995 na mpaka 2005 mpaka wakahakikisha jamaa yao ameupata URais !! Kilichowafanya wakosane wanakijua wenyewe sisi hayatuhusu !!
 
Naendelea

2000 akiwa na Kundi lake la Wanamtandao alisimama na Amani Karume hadi akawa Rais japo alikuwa wa mwisho kwny kura za ndani ya Chama pale kisiwandui

2010 akavunja mwiko kwa kuhakikisha na Wapemba wanapata fursa ya kutoa Rais wa Znz japo Wahafidhina waliapa asilani abadan

2011 akang'oa Mbuyu kutoka Igunga uliokuwa tishio sana kwny Medani ya kiuchumi na kisiasa hapa nchini

2015 akatuletea Mgombea Urais kutoka mfukoni kwake

2015 akazuia harakati za kuzima Mapinduzi matukufu ya Znz ya 1964 kupitia Jemedari na Mtia nia wa Urais 2020 Ndugu Jecha
Lakini ukumbuke ule mbuyu wa Igunga ndio ulioplay part kubwa ya kumfikisha jamaa kwenye kiti cha Enzi !! Watu wazima wa nyakati zile wanajua hili !!
 
Umesahau 2010 Dr Slaa akamuendesha puta akampiga akaiba kura!
Huyu anachoweza ni fitna tu siyo siasa! Marginal failure from BA economics undergraduate degree UDSM
Watu wa ufipa, si kazi yenu kupongezwa Wala kushukuru, lakini yawapasa mnapo taka kujenga, muweke record sawa.
Mliachiwa kufanya siasa kadli ya uwezo wenu, hata kama changamoto zilikuepo.
Nje ya bunge mikutano hamkuzuiliwa, ndani ya bunge mkaongoza kamati za LATI n POAK.

Unasemaje siasa haziwezi , wakati alitamani nakujalibu kue na uwanja wenye usawa ,mchezo uachwe kwa wa chezaji Policcm wawe watazamaji?
Screenshot_20220725-112437.jpg
 
Back
Top Bottom