Naomba kujuzwa mchanganyiko mzuri wa chakula cha nguruwe

Habari ndungu,
Hii issue imekuwa siri kubwa sana kwa wafugaji wa Nguruwe. Binafsi nimeshafanya efforts za kuwasiliana na wafugaji wa Nguruwe wakubwa tu, na hata kutembelea mashamba yao....watakujibu kuwa hiyo ndio success formula yao kwenye soko la nyama ya Nguruwe.

Sijui kwa nini kuna uguu wa kushirikishana hizi formula, hasa toka kwa wafugaji wenye uzoefu ambao wameshajaribu formula nyingi kiasi wanajua for sure what works better.
 
Unajua gharama za utafiti?
 
Unajua gharama za utafiti?
Sijui. Lakini hata kama ni kubwa, si sababu ya kunyima watu ujuzi. Ujuzi unaweza ukashare bure, au ukatoza fedha/gharama. Tatizo ni kuwa wengi wa wafugaji wenye uzoefu wanabani hili, hata kwa fedha. Nimeshaomba wafugaji kadhaa kunifanyia kama consultancy nilipe, bado wazito.
 
1) Nawe anzisha utafiti wako ndipo utajua gharama halisi, Kisha uone kama uwekezaji uliofanya unaweza kugawiwa bure.
2) Hao unaowafuata wakufundishe wanakuona huna hela ya kuwalipa. Ukiwa na hela utajua "mtu gani umfate na sehemu gani"!.
 
Ahsante kwa mawazo yako mgando. Na haya ndiyo yanayorudisha nyuma maendeleo...kwama aukijua kitu basi uendekeze u-mimi:confused:, kwamba ni mimi tu najua..mimi tu can get it right...pathetic!
 
inategemea unafunga nguruwe Aina gani na Kama wa kuzaliana au wa kuuza (kuchinja)

Unaweza kutumia vyakula special kama vile *pig grower pallet" au (pig finisher pallet) kulingana na nahitaji yako Kwa nguruwe wadogo Unatumia starte na....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom