Search results

  1. Kikapuu

    HESLB tunaomba mruhusu kurekebisha taarifa kwa sisi tuliowasilisha page No. 2 na 5

    Wakuu habarini, Tunaombeni mtusaidie kuuruhusu mfumo wenu ili utuwezeshe kufanya marekebisho. Fomu yangu imekatwa vibaya kwenye vipengele vya si/ndiyo (uthibitisho wa serikali ya kijiji au mtaa) kuna makosa. Kifupi reverse my application haituruhusu kwa sababu tushawasilisha fomu ya ukurasa wa...
  2. Kikapuu

    SoC02 Nataka kuwa mtu wa maarifa ndani ya Jamii

    Utangulizi. Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
  3. Kikapuu

    SoC02 Elimu bora ni ipi?

    Utangulizi. Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
  4. Kikapuu

    SoC02 Namna bora ya kutumia rasilimali watu kuchochea maendeleo kupitia rasilimali zilizopo eneo husika

    UTANGULIZI. Rasilimali ni nyenzo ya muhimu ambayo huleta faida kwa kurahisisha maisha ya mwanadamu kulingana na mahitaji yake. Rasilimali inaweza kuwa ni ya asili au si ya asili kwa mfano vyanzo vya maji, misitu na hata vivutio vya kitalii kama mlima Kilimanjaro ni rasilimali ipatikanayo...
Back
Top Bottom