Search results

  1. Black Bolt

    Natafuta kazi, nina familia inanitegemea

    Nashida ya kazi, nilipokua nafanya kazi Kampuni imefungwa. Jamani hata iwe ya maslahi madogo ile iwe ya uhakika tu, hata kazi ya usaidizi ofisini, hata dukani. Hata kazi ya kusimamia choo cha sokoni. Napatikana Dar es Salaam.
  2. Black Bolt

    Wanawake hawajisumbui kuyapa uhai mahusiano yanayoenda kuwa ndoa wakiwa 20-25 wakifika 27 kwenda juu wanalalama hawaolewi

    Ndoa Ina gharama yake kabla ya kuwa ndoa wanawake wengi hawalipi hio gharama at first baadae wanapostuka wanataka kufanya janjajanja wanaishia kupigwa tu na wengine kuishia kuwa single mother Mahusiano yanapoanza yanakuwa motomoto katika kipindi Cha miezi mitatu ya mwanzoni kila mtu anakuwa...
  3. Black Bolt

    Bei za vitu Kimara imekuaje, mbona kitu cha Shilingi 100 Temeke huku ni 200?

    Wazee kwani huku KIMARA kupoje? Nimekuja mara kadhaa huu mwezi lakini nashangaa bei za vyakula hasa vitafunwa, yaani vile vitu huku Temeke na viunga vyake vinauzwa 100 TZS mfano andazi, mihogo ya mia huku KIMARA wanauza 200 alafu kumekaa kama sio DSM kama mkoani fulani hasa Kimara Suka.
  4. Black Bolt

    Naomba kibarua Hali mbaya

    Ndugu Nina Hali mbaya Sana. Naomba kibarua chochote sio kazi ya kuajiriwa ukiwa na kazi Kama hizi nafanya 1)Udobi (kazi ya kufua au kupiga pasi) 2)Kufyeka nyasi 3)Kunituma/Kuniagiza kitu DSM 4)NK Napatikana DSM
  5. Black Bolt

    Nawaza kwenda kuomba kazi physical hukuhuko madukani, supermarket nk inahitaji moyo

    Upatikani wa kazi kwa njia ya kutuma CV ONLINE imekuwa ngumu Sana kupata kazi Nataka kuanza kwenda kuomba kazi physical changamoto yake inabidi ujitoe ufahamu kwenda sehemu wajasema wanataka wafanya kazi unaenda nahitaji kazi at least tuwe wawili aise nani aungane na Mimi 😂 Niko Temeke Kama...
  6. Black Bolt

    Nauza laptop aina ya Lenovo Ideapad 280,000 Tzs

    NAUZA LAPTOP Lenovo Ideapad: Ram 4, Proc 2, HDD 500, 64 Bits, Better 3 Hours...Haina
  7. Black Bolt

    Uzi huu nitakuwa naelezea movie zote nitakazotazama mwaka huu 2023 hili kuwapa watu motisha

    Habari wapenzi wa movie, ni mwaka mwengine wa 2023 kuna movie mbalimbali kali zinategemewa kutoka huu mwaka kwa wapenzi wa movie huu mwaka ni wamoto sana Mwaka 2022 zimetoka movie kali sana asilimia 90 ya movie zilizotoka mwaka jana hasa zile maarufu nimefanikiwa kuziangalia kwasababu...
  8. Black Bolt

    INAUZWA Speaker za PC Bei 19,000 Tzs

    Nauza Speaker zinatumika mara nyingi kwa Laptop na Simu bei 19,000 Tzs Ni PM
  9. Black Bolt

    Uchumi wa kidijitali: Mradi gani wa kidijitali wanaweza kubuni mtaani kwa mtaji mdogo faida kubwa?

    Kulingana na tupo kwenye era ya teknolojia napenda kuanzisha mjadala. Mjadala: Endapo kijana/vijana wana aina zifuatzo za mtaji 1)Mtaji pesa 2)Digital devices(Computer, Smartphone nk) 3)Basic Computer skill mf Ms Office Kijana/Vijana hawa wanaweza kuanzisha mradi gani kama Side Hustle ambao...
  10. Black Bolt

    White Board ya kuandika (For schoo/For personal) Bei 60,000 Tzs

    Nauza hii White Board unaweza kutumia kufundishia, kupangilia mipango yako, Progress, To do list nk Nakupa Makers zake na ufutio Bei 60,000 Tzs
  11. Black Bolt

    Sasa nafundisha kufanya Video Subtittle online, mafunzo 20,000 tu

    Habari, Video Subtittling ni moja Soft Skills ambayo inahitajika sana katika majukwaa ya kazi za mtandaoni (Freelancing Platforms), kwa anayehitaji kuanza Skills hii ya video Subtittling nimeandaa training fupi na rahisi Zaidi kuelewa. Mafunzo utalipia 20,000 TZS pesa ambayo ukiipata Skills...
  12. Black Bolt

    Nafundisha kuweka Subtitles kwenye Video Weekend kwa Bei poa

    Anayetaka kujifunza Sub-tittles ili afanye kazi zake au kuuza kama ujuzi kupitia Freelancing. Nafundisha uso kwa uso hapo hapo mpaka unaelewa Nafundisha kwa 20,000 tu ndani ya siku moja una-Master na naku Direct baadhi ya Software za kuwa nazo. *Jinsi ya kuweka Sub-tittles *Jinsi kuiweka...
  13. Black Bolt

    Nahitaji atayeniingizia Game za PC

    Nahitaji mtu atayeniwekea Game za PC Call Of Duty Need For Speed GTA American Truck nk Anipe na Cost yake. Nipo DSM
  14. Black Bolt

    Hutaji tutotials za kujifunza UX/UI Design kwa FIGMA

    Habari wadau kama Kuna mtu anaweza kuwa na tutorials za kujifunza UX/UI kwa FIGMA naomba anieekeze alipo nizipate kwenye Flash yangu
  15. Black Bolt

    Infinix S5 Pro (Good Condition) | 270,000

    Infinix S5 Pro Ram 4, Storage 64, Bettry 1000 (Good condition) Bei 270,000 | Mbagala Cont: 0628674204
  16. Black Bolt

    INAUZWA PS 2 bei 70,000

    PS 2 na Pad zake inauzwa kwa 70,000 tu Haina tatizo lolote Ipo Mbagala Cont: 0628674204
  17. Black Bolt

    Nauza Dictionary Softcopy English-Kiswahili (A-Z)

    Nauza Dictionary Softcopy English-Kiswahili maneno (A-Z) Bei 4000 pia kuna Softcopy za notes za Formone *Biology *Geography *History
  18. Black Bolt

    PRE-FORM ONE: Mkopo au muwekezaji anahitajika kufanikisha Pre-Form One Programu

    Habari Tumefanikiwa kufungua kituo cha Tuition maeneo ya Charambe Majimatitu, mwezi ujao tunafanya programu ya Pre-Form One kwa wanaomaliza darasa la saba. Tumefanikiwa kuweka matangazo ya kitambaa na karatasi. Cost zilizobaki A) kwenda mashuleni (shule 5). B) Vipeperushi & T-shirt C)...
  19. Black Bolt

    INAUZWA Notes za A-level: Mnaoingia Form Five

    A-level Kwa wale Form five Lisiters QT Walimu Sasa notes zote zinapatikana kwa mfumo wa softctopy full package unatumia mpaka unamaliza A-level. Ni masomo yote matatu (3) ya combination kila somo (1 na 2) jumla vitabu
Back
Top Bottom