Uchumi wa kidijitali: Mradi gani wa kidijitali wanaweza kubuni mtaani kwa mtaji mdogo faida kubwa?

Black Bolt

JF-Expert Member
Jun 5, 2021
257
415
Kulingana na tupo kwenye era ya teknolojia napenda kuanzisha mjadala.

Mjadala:
Endapo kijana/vijana wana aina zifuatzo za mtaji
1)Mtaji pesa
2)Digital devices(Computer, Smartphone nk)
3)Basic Computer skill mf Ms Office

Kijana/Vijana hawa wanaweza kuanzisha mradi gani kama Side Hustle ambao watatumia pesa ndogo sana ila wakapata faida kubwa kwa muda mfupi, mradi huo ulenge kutoa huduma/ujuzi fulani kwa jamii au kundi fulani la watu katika jamii.

Ningependa tujadiri kwa kina
 
3.kwa mtazamo wangu inabidii utanue ujuzi in advance level otherwise basic kutoboa ni ngumu sana.
->msome Elon musk historia yake.
->E-commerce ukiwa creative unaweza kuwin.
->Unaweza ukawa freelancer ukatoa consulting service inategemea eneo ulilojikita kwa online platform kadhaa mfano UPWORK n.k
 
Back
Top Bottom