Bei za vitu Kimara imekuaje, mbona kitu cha Shilingi 100 Temeke huku ni 200?

Black Bolt

JF-Expert Member
Jun 5, 2021
257
415
Wazee kwani huku KIMARA kupoje? Nimekuja mara kadhaa huu mwezi lakini nashangaa bei za vyakula hasa vitafunwa, yaani vile vitu huku Temeke na viunga vyake vinauzwa 100 TZS mfano andazi, mihogo ya mia huku KIMARA wanauza 200 alafu kumekaa kama sio DSM kama mkoani fulani hasa Kimara Suka.
 
Kumbe unajua kuwa milima imesababisha bei kupanda.
 
Wazee kwani huku KIMARA kupoje? Nimekuja mara kadhaa huu mwezi lakini nashangaa bei za vyakula hasa vitafunwa, yaani vile vitu huku Temeke na viunga vyake vinauzwa 100 TZS mfano andazi, mihogo ya mia huku KIMARA wanauza 200 alafu kumekaa kama sio DSM kama mkoani fulani hasa Kimara Suka.
Jifunze kutambuwa tofauti ya location, Temeke watu wanakula utumbo wa Kuku na vichwa vya Kuku, wakati kimara kiti moto na mbege bei chee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom