Naomba kibarua Hali mbaya

Naomba kibarua Hali mbaya

Black Bolt

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2021
Posts
257
Reaction score
418
Ndugu Nina Hali mbaya Sana.

Naomba kibarua chochote sio kazi ya kuajiriwa ukiwa na kazi Kama hizi nafanya
1)Udobi (kazi ya kufua au kupiga pasi)
2)Kufyeka nyasi
3)Kunituma/Kuniagiza kitu DSM
4)NK

Napatikana DSM
 
Ndugu Nina Hali mbaya Sana.

Naomba kibarua chochote sio kazi ya kuajiriwa ukiwa na kazi Kama hizi nafanya
1)Udobi (kazi ya kufua au kupiga pasi)
2)Kufyeka nyasi
3)Kunituma/Kuniagiza kitu DSM
4)NK

Napatikana DSM
Duh! Na hii kazi ya kuomba ulipwe mshahara?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom