Uzi huu nitakuwa naelezea movie zote nitakazotazama mwaka huu 2023 hili kuwapa watu motisha

Black Bolt

JF-Expert Member
Jun 5, 2021
257
415
Habari wapenzi wa movie, ni mwaka mwengine wa 2023 kuna movie mbalimbali kali zinategemewa kutoka huu mwaka kwa wapenzi wa movie huu mwaka ni wamoto sana

images (16).jpeg

Mwaka 2022 zimetoka movie kali sana asilimia 90 ya movie zilizotoka mwaka jana hasa zile maarufu nimefanikiwa kuziangalia kwasababu nimekuwa na access ya kutosha ya vifaa na internet nimepakua movie zaidi ya 200 na kuziangalia member mbalimbali wa jamiiforums niefanikiwa kuonana nao na kuwawekea movie.

Uzi huu nitakuwa nitakuwa naelezea zile movie ambazo nitafanikiwa kuziangalia kwa mwaka huu 2023 hili wadau mbalimbali wa movie waweze kupata motisha ya kutazama movie hizo, mpaka kufikia sasa nimefanikiwa kupakua movie 10 zilizotoka hii january nyingi zilizotoka hii january ni HORROR MOVIE (zenye mahadhi ya kutisha) mpaka sasa nimefanikiwa kuangalia movie moja kati ya hizo naanza na hii movie hii nitaielezea kwa upana hilitufungue uzi twende pamoja…

MEGAN
Genre: Horror and Sci-Fi Movie
best-new-horror-movies-m3gan-1670003739.jpg

Movie inahusu mdada mmoja anayeitwa Gamma ambaye ni Robot Engineer katika kampuni kubwa ya teknolojia, mdada huyu ana Niece wake ambaye anaitwa Cady ambaye wazazi wake wamefariki katika ajari siku za karibuni basi Cady anakuwa hayupo kisaikolojia na anakuwa mpweke hivyo inamalazimu Gamma kutumia muda wake kukaa na huyu mtoto ambapo muda huo inabidi amalizie project kubwa waliyonayo kwa kipindi hiko project ambayo yeye ndiye injinia mkuu katika team yao

Hii project inahusu kutengeneza robot ambayo inatumika kama mdoli kwa watoto nyumbani, robot hili linabidi kutengenezwa kwa teknolojia kubwa hili robot kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya response kama binadamu kwa kilakitu, team hii inafanikiwa kutengeneza robot huyu (mdoli) wanamwite MEGAN, Megan bado yupo hatua ya PROTOTYPE (yaani bado yupo kwenye majaribio), Megan anakuwa na uwezo kama binadamu kwa 100% mpaka CEO hakuamini Gemma anamuweka Cady kama ndiye first user wa robot huyu hili kutatua tataizo la upweke basi Cady anakuwa na hili suala linafanikiwa kwa kihasi kikubwa maana Megan anakuwa hana tufauti na binadamu anamsimamia kazi za nyumbani, shule, anamuimbia akilala, anampa kampani wanacheza yaani anafanya kilakitu na Cady mpaka mtoto huyu anatengeneza mapenzi zaidi kwa Megan kuzidi Gemma hapo ndipo tatizo linapoanzia

Tatizo sio hilo tuila huyu roboto Megan anakuwa na uwezo wa kiakili zaidi kuliko hata waliomuwekea mainjia inafika hatua anakuwa na uwezo mkubwa sana jinsi ya kuyaangalia mbambo na ubaya zaidi unakuja anakuwa na emotional zaidi ya binadamu suala ambalo linamfanya kuchukua hatua ya kuuwa yeyote yule ambaye atamfanyia uovu mtoto Cady ataanza kuuwa mbwa wa jirani atakuja mwenye mbwa, atakuja kuuwa mwanafunzi shuleni, mpaka atafika kuwauwa mainjia wote wa kampuni mpaka CEO haya yote kipindi yanaanza kutoke Gemma hakujua kama Megan ndie anayesababisha haya mauaji maana muaji haya yanafanywa kwa kutumia akili sana bila kuacha uashahidi

Bottom
Director amekuwa na uwezo mkubwa kuweka teknolojia na maudhui ya hooro kwa pamoa maana ndani kuna mambo ya Artificial Intelligece, Machine learning, robotics na Coding mwisho ameonesha side effect kupitia plot za horror yaani robot ni source tu ya Meagan kuweza kufanya yote ila mauji anayofanya Megan hauwi kama wanavyouwa robot kama terminator au cyborg nk mauaji yametengenezwa yawe na mahadhi ya horror

Nitaelezea movie nyenginezo leo
 
Habari wapenzi wa movie, ni mwaka mwengine wa 2023 kuna movie mbalimbali kali zinategemewa kutoka huu mwaka kwa wapenzi wa movie huu mwaka ni wamoto sana

View attachment 2505733

View attachment 2505732

sawa
 
Hongera mkuu
 
images (20).jpeg

View attachment 2513318

HEY YOU

Mwamba ni Software Engineer kutokana na shughuri zake anatumia muda mwingi Sana kazini na nyumbani kushinda na kumpyuta Hali inayomfuanya awe mpweke zaidi na ukizingatia hana mpenzi ataweza mpa kampani, kutokana na haali hio inamfanya jamaa kujiunga na mitandaoni ya kijamii ya kufanya mapenzi Mtandaoni yaani una login unachekiana na Mwanamke yeye yupo kwake na wewe upo kwako munafanya mapenzi kwa video charting

Siku moja akiwa anaendelea kufanya vedio Sex na Manzi mmoja ghafra Connection inakata Mwamba akiwa yupo High hivyo anachukia ila mda huohuo Kama dakika 15 mlango wake unagonga akifungua anakutana na Manzi mmoja Pisi kali Manzi anamuomba msaada Mwamba kuchaji PC yake na kumwambia yeye Ni jirani yake kwenye appartment hiohio hapo tu Next Door...Manzi alivyonigia ndani akaomba aende chooni mala Mwamba anaonaa text na picha ya yule Manzi alikuwa akisex nae Mtandaoni akimwambia WAIT mtandao kumbe bila kujua huyu Manzi aliyekuja kuchaji PC ndiye yuoe Manzi anaye sex nae mtaandaoni na lengo la kuja pale geto kuchaji hili akaendelee na pale walipoishi lakini wote hawajuani kwamba ndio wakule Mtandaoni kisanga maana huu nfio unakuwa mwanzo wa ukaribi na kuanza mahusiano ya kimapenzi bila ya kujuana ndio hao huwa wanafanya sex Mtandaoni....
 
images (22).jpeg

PLANE

Kama ilivyo kawaida katika uwanja wa ndege abiria na wahudumu walikuwa wanafanya harakati hili kuanza safari ya ndege hio, Gerald Buther akiwa kama Pilot mkuu anayetegemewa kufikisha ndege salama, katika harakati za kuanza safari wanapokea abiria ambaye ni mtuhumuwiwa wa uharifu mkubwa ambae inabidi asafirishwe kwenye ndege hio akiwa chini ya usimamizi wa polisi Yes safari inaenda vizuri mpaka pale hali ya hewa inapokuwa mbaya na kufanya ndege iwe na itirafu na kufanya ndege hio kutua kwa dharula kwenye kisiwa ambacho wao hawakujua kuwa kwenye kisiwa hiko kuna kikundi Cha watu wabaya kama

Hili kuhakikisha abiria wanabaki salama inabidi captain kukaachini na muharifu kuona vipi wana solve tatizo mambo mengine yataonheleka tu
 
images (21).jpeg

Viking Wolf

Katika mji mmoja mdogo ambao kwa asilimia kubwa umezingukwa na msitu (Wood) Emi na wanafunzi wenzake wanandaa part pembeni kidogo mwamji huo pembeni mwamto Emi na wenzie wakiwa wamesogea pembeni ya part wanavamiwa na kiumbe ambaye hakufahamika Emi anajeruhiwa na wenzie mmoja kuuliwa na kiumbe huyo

Mama yake na Emi ambae ni askari anafanya uchunguzi na kujua kiumbe huyo uenda atakuwa Ni mbwa mwitu (Werewolf), Werewolf hawa ni viumbe wanaoambukiza Kama Vampire na storia yao imeanzia mbali kipindi Cha falme za Viking jamii hii ya Warewolf imeendelea kuwepo mpaka Dunia ya sasa ambao leo ndio wameleta mdhara.

Emi anaanza kupata mabadiriko taratibu kutoka kuwa binadamu na kuwa Warewolf bila ya mtu yeyote kujua Happ ndipo mji unaheuka kuwa damu na kutokea kwa mauji ya watu kila kukicha

Bottom: kwa wale wanaozijua movie hizi zinazohusu Warewolf hi ni moja ya movie Bora ya Warewolf ukiangalia Plotting mazingira iliyotengenezwa,Visual Effect Emi anavyofanya transfomation, kisa na storyline yake
 
Blood_poster.jpg

BLOOD

Mama wa watoto wawili anayeitwa Michelle baada ya kutengana na mmewe anakaa pembezoni mwa mji na watoto wake ambapo pembeni ya nyumba hio kuna kapori ambacho ndani yake kuna kamto kadogo Cha maji ambacho kwakipindi hiko maji yamekauka

Watoto wakiwa katika michezo yao ya kawaida wanapita sehemu hio ya mto na mbwa, mbwa anaanza kubweka Kama kuna kitu kwenye mti huo wanafanikiwa kurudi Nyumbani lakini usiku mbwa anaendelea kubweka na kukimbia kwenda kwenye sehemu hio ya bwawa na anapotea kwa muda wa week bila kuonekana siku moja usiku wanamuona karudi Cha ajabu anakuwa sio mbwa yule waliomzoea macho yanawaka na kutisha na anaonekana yupo stressed kabla ya wajachukua Maamuzi mbwa anavamia mtoto wa kiume na kumshambulia wanafanikiwa kuumua mbwa lakini mtoto akiwa na huo kitandani

Katika harakati za kumuuguza dogo Hali ya dogo mbaya siku Michelle alimuacha kitandani anarudi anakuta dogo anakunywa damu iliyowekwa kwenye pack mamamtu anauliza unafanya nini chakushangaza baada ya kunywa akawa na ahueni basi baada ya hapo dogo akawa chakula chake damu tu akila chakula chakawaida anadondoka Siri hio anaijua mamayeke tu Michelle sasa tatizo linapokuja je atapata wapi access ya kumpatia damu kilasiku na je mwisho wake ni Nini na tatizo nini hasa na je watu wakijua.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom