Search results

  1. Joseph_Mungure

    ATCL yaagiza ndege nyingine mpya

    Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesema ujio wa ndege ya mizigo ifikapo Aprili utaiwezesha kubeba mizigo hadi tani 3,000 kwa mwaka na kuondoa adha ya wafanyabiashara waliokuwa wakipeleka mizigo yao nje ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na wadau...
  2. Joseph_Mungure

    Dimba la Benjamin Mkapa kufungwa

    Shirikisho la soka Afrika (CAF) limeshauri kutotumika Dimba la Benjamin Mkapa ili kufanyiwa marekebisho kwa kile wanachodai kuwa eneo la kuchezea (pitch) limeharibika. Baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakochezwa leo kati ya Yanga SC na KMC FC, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
  3. Joseph_Mungure

    Mbinu mpya za wahalifu

    Picha zinazoonyesha viatu vilivyoongezwa kwato kwenye soli ili mtu anapotembea viache nyayo za mnyama ardhini zimesambazwa pia sana mtandaoni. Miongoni mwa waliosambaza ni gavana wa zamani wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko aliyeandika kwamba viatu kama hivyo hutumiwa na wahalifu kaskazini mwa...
  4. Joseph_Mungure

    Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2

    Kitaifa Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2 Jumanne, Februari 21, 2023 Wadau wa suala la uraia pacha wakitoka mahakamani, kusikiliza kesi ya uraia pacha iliyofunguliwa na Watanzania Sita wanaoshi nje ya chini, iliyofunguliwa Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam. By James Magai...
  5. Joseph_Mungure

    Mwanafunzi ajeruhiwa na Walimu akigomea udanganyifu kwenye mtihani

    Mwanza. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mmoja wa wanafunzi waliogoma kufanya udanganyifu katika mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 katika Sekondari ya Thaqaafa iliyoko jijini Mwanza alijeruhuwa vibaya kutokana na adhabu aliyopewa na uongozi wa shule hiyo...
  6. Joseph_Mungure

    Kichaa cha mmbwa: Dalili, Matibabu, Kinga na Tiba

    Kichaa cha mbwa ni maambukizi makali ambayo huathiri ubongo na mfumo wa neva. Inaweza kuwa mbaya ikiwa haitatibiwa kwa wakati. Kwa hivyo, watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa kichaa cha mbwa wanapewa chanjo ya kichaa cha mbwa ili kuwalinda dhidi ya maambukizo yoyote yanayoweza kutokea...
  7. Joseph_Mungure

    Arusha yashika nafasi ya 8 kutafutwa duniani kwa lengo la utalii

    Kwa mujibu wa jarida la Tripadvisor' limetaja maeneo 10 duniani yaliyoingia klwenye trending ya utalii. Yaani maeneo yanayotafutwa zaidi mtandaoni kwa lengo la utalii, na katika maeneo hayo jiji la Arusha kutoka Tanzania limefanikiwa kuingia 10 na kushika nafasi ya 8. Orodha hiyo ipo hivi...
  8. Joseph_Mungure

    Kwanini hakuna usimamizi kwenye Bei ya Vifurushi vya Mitandao ya simu?

    Habari ya asubuhi wana JF. Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo. Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku...
  9. Joseph_Mungure

    Ni kwanini TCRA haisimamii na ku-regulate bei za huduma za mitandao?

    Habari ya asubuhi wana JF. Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo. Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku...
  10. Joseph_Mungure

    Mgawo wa maji rasmi mikoa ya Dar es Salaam na Pwani

    KAMATI ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani imetangaza mgawo wa maji katika mikoa hiyo kutokana na kupungua kwa kina katika Chanzo cha Ruvu Juu na Chini vinavyohudumiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA).
  11. Joseph_Mungure

    Sugu awataka wanaume kufunguka ukatili wanaofanyiwa

    Mbeya, Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amewataka wanaume kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa katika ndoa ili kupata msaada wa kisheria na kisaikolojia. Sugu amesema hayo leo Jumatatu, Oktoka 24, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana...
  12. Joseph_Mungure

    Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini

    Mikoani. Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea vyanzo asili visivyo salama. Uchunguzi wa Mwananchi katika mikoa ya Mara, Mwanza, Geita...
  13. Joseph_Mungure

    Mradi uchakataji gesi kuzalisha ajira 13,000

    Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitarajia kutiliana saini ya makubaliano ya mwisho kabla ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na usimikaji gesi asilia (LNG) wenye thamani ya Sh70 trilioni ifikapo Novemba mwaka huu, Watanzania 13,000 watanufaika na ajira mpya. Juni 11, 2022...
  14. Joseph_Mungure

    Mradi uchakataji gesi kuzalisha ajira 13,000

    Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitarajia kutiliana saini ya makubaliano ya mwisho kabla ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na usimikaji gesi asilia (LNG) wenye thamani ya Sh70 trilioni ifikapo Novemba mwaka huu, Watanzania 13,000 watanufaika na ajira mpya. Juni 11, 2022...
  15. Joseph_Mungure

    Je, Kuna mgao wa umeme Tanzania!?

    Kwa baadhi ya mikoa kumekuwa na muendelezo wa katizo la umeme kwa muda sasa takribani miezi miwili (2) sasa. Kwa mfano Mimi naishi Arusha, Wilaya ya Arumeru, umeme umekuwa ukikatika kwa muda sasa tena muda wa kazi Asubuhi hadi jioni. Je, ulipo wewe Kuna tatizo kama hili!? Toa maoni yako..
  16. Joseph_Mungure

    Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

    Kutokana na makundi ya vijana yanayokusanyika Mkoa wa Dodoma kuudhuria usaili kwenye TUME YA UTUMISHI WA UMMA, Serikali umeamua baada ya bajeti kupita Tume iandae mpango usaili uweze kufanyika mikoa wanapotokea wasailiwa.
  17. Joseph_Mungure

    Utambulisho wana Jamii Forums

    Habari, jina langu ni Joseph nimekuwa member Jamii Forums kwa muda kidogo but leo nimekuja kujitambulisha rasmi kwenu. Ningefurahi kupata marafiki wa kubadilishana mawazo na fursa.
  18. Joseph_Mungure

    Tubadilishane uzoefu kuhusu kipindi baada ya kumaliza masomo, kutafuta ajira au kujiajiri

    Kutokana na vijana wengi kupitia changamoto mara baada ya kumaliza masomo. Nimeona niandike uzi huu ili kutoa nafasi ya kubadilishana uzoefu na taarifa mbalimbali kuhusu changamoto ya ajira na kujiajiri. Ningependa kupata maoni mbalimbali ya wadau kwa maana wanafunzi, watafuta ajira, waajiri...
  19. Joseph_Mungure

    Nahitaji taarifa kuhusu TAESA Internship Program

    TAESA wanafanyaje kazi na kuna utaratibu gani inatumika kwa anayetaka kupata nafasi ya internship?
Back
Top Bottom