Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

Capo_di_Tutti_Capi

Senior Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
111
Reaction score
168
Kutokana na makundi ya vijana yanayokusanyika Mkoa wa Dodoma kuudhuria usaili kwenye TUME YA UTUMISHI WA UMMA, Serikali umeamua baada ya bajeti kupita Tume iandae mpango usaili uweze kufanyika mikoa wanapotokea wasailiwa.
Screenshot_20220624-144012_1.jpg
 
Warekebishe na ajira portal mtu aweze kuedit na kudelete vyeti vyake
kuedit mbna unaweza we kinakushinda nn kuedit kufuta ndio haiwezekani maana kuna raia walikua kazi zikitoka za diploma wanafuta degree wanaomba za diploma mpaka watakapoitwa usaili, zikitoka za digree wanaweka cha degree mpaka watakapoitwa usail
hiyo aitakiwi tunabania nafasi kama unadegree omba degree tu kama unadiploma omba diploma tu
 
Vijana mnafurahia sana ila kuna side effects asee.
Hapa watachujwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa M/kiti CCM Mkoa, Wilaya kisha majina yatatumwa ngazi ya Kanda, kisha yatatumwa ngazi ya Taifa. Watoto wa upinzani mnaelewa?
 
System Iliyopo kwa nchi kama hii ndio bora zaidi kwani ipo trusted na centralized kuliko hio mnayolilia mtapigwa hadi mlie subirini muone licha ya changamoto za nauli ila watoto wa masikini wengi tu wametoboa
 
Kutokana na makundi ya vijana yanayokusanyika Mkoa wa Dodoma kuudhuria usaili kwenye TUME YA UTUMISHI WA UMMA, Serikali umeamua baada ya bajeti kupita Tume iandae mpango usaili uweze kufanyika mikoa wanapotokea wasailiwa.View attachment 2270664
Angalau Mungu amesikia maombi yetu sasa maana mateso ya kusafiri kila wakati kwenda dodoma na garama nyingine za huko yalitucost sana jobseekers.
 
System Iliyopo kwa nchi kama hii ndio bora zaidi kwani ipo trusted na centralized kuliko hio mnayolilia mtapigwa hadi mlie subirini muone licha ya changamoto za nauli ila watoto wa masikini wengi tu wametoboa
Word [emoji1303]
 
Hawa utumishi naona wanazidiwa kazi.. just imagine Ajira za TRA Toka mwezi April sijui March hawajaita watu interview hadi leo.. hapo bado hiz 2000 zilizotoka mwezi wa 5 bado za Kilimo hadi leo hawajatangaza.. Sasa kwa namna hiz Ajira za mwaka wa fedha kukamilika si itachukuwa hadi mwaka mzima kuajiri.. Leo nimemsikia Waziri wa Ajira anasema kuwa utumishi wafanye chapu Ajira ziaze kufanya kazi July 1 hv kweli Huyu Waziri na utumishi wake wako serious..? Utumishi kwa kweli wanaboa sana, kwann wanachelewesha watu kuwasaili na kuwapangia vituo vyao vya kazi.. kama kazi ni kubwa si waajiri Wafanyakazi wengi huko utumishi halafu kwanza saili zote zinafanywa na taasisi husika, Sasa kwa nn wanachelewesha mambo..

Kwa kweli wanaboa, Waziri angalia hii kitu kama Ajira 1500 za Kilimo na mifugo hadi leo zimewashinda kutangaza toka mama alivyotaza hizi Ajira Sasa wanataka Hadi mwaka upinduke..? Yaan Kuna watu wanapenda kuchelewesha vitu bila sababu za msingi dadeq.
 
Nadhani hii ni hofu yako tu mkuu!
Hata ilipoanza system ya kutuma maombi online kuna watu walijenga hofu kama yako.
Tujifunze kuyapokea mabadiliko!
 
Hawa utumishi naona wanazidiwa kazi.. just imagine Ajira za TRA Toka mwezi April sijui March hawajaita watu interview hadi leo.. hapo bado hiz 2000 zilizotoka mwezi wa 5 bado za Kilimo hadi leo hawajatangaza.. Sasa kwa namna hiz Ajira za mwaka wa fedha kukamilika si itachukuwa hadi mwaka mzima kuajiri.. Leo nimemsikia Waziri wa Ajira anasema kuwa utumishi wafanye chapu Ajira ziaze kufanya kazi July 1 hv kweli Huyu Waziri na utumishi wake wako serious..? Utumishi kwa kweli wanaboa sana, kwann wanachelewesha watu kuwasaili na kuwapangia vituo vyao vya kazi.. kama kazi ni kubwa si waajiri Wafanyakazi wengi huko utumishi halafu kwanza saili zote zinafanywa na taasisi husika, Sasa kwa nn wanachelewesha mambo..

Kwa kweli wanaboa, Waziri angalia hii kitu kama Ajira 1500 za Kilimo na mifugo hadi leo zimewashinda kutangaza toka mama alivyotaza hizi Ajira Sasa wanataka Hadi mwaka upinduke..? Yaan Kuna watu wanapenda kuchelewesha vitu bila sababu za msingi dadeq.

Kwa kulalama wabongo hamjambo, zikitoka izi nafasi mka itwa mka feli mtaanza lalama pia.. izi nafasi zikitoka jua kuja itwa tena ni Muda komaa na maandalizi acha uharaka
 
Vijana mnafurahia sana ila kuna side effects asee.
Hapa watachujwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa M/kiti CCM Mkoa, Wilaya kisha majina yatatumwa ngazi ya Kanda, kisha yatatumwa ngazi ya Taifa. Watoto wa upinzani mnaelewa?
System Iliyopo kwa nchi kama hii ndio bora zaidi kwani ipo trusted na centralized kuliko hio mnayolilia mtapigwa hadi mlie subirini muone licha ya changamoto za nauli ila watoto wa masikini wengi tu wametoboa
Kwa pamoja mmethibitishia umma kwamba: Katika nchi yetu na popote pale karibu kila wazo bora la kimaendeleo kuna wazo mbadala wake ambalo nalo aidha ni la kimaendeleo au uoga wa kupoteza maendeleo.

Sasa tujiulize 'demokrasia' itatoboa kweli bila elementi za udikteta?

Mi naamini haijalishi ni demo au dic kinachohitajika katika hizi nchi ni uaminifu. Uaminifu huja kwa namna mbili 1. Watu kwa kupenda maana uaminifu umepewa kiki na sifa kama ilivyo utajiri katika nchi hiyo [Honor, mfano Japan]. 2. Kwa uoga maana kitakachompata asiye mwaminifu ni kibaya mno [Kifo, mfano China].

Jichukulie kama shujaa wa taifa pindi ukifanya lolote la kuongeza heshima kwa wanaofanya makubwa kwa nchi. Jichukulie coward unaposhadadia habari yoyote ya kinyume na haki. Haki huinua taifa.
 
Back
Top Bottom