Joseph_Mungure
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 108
- 161
TAESA wanafanyaje kazi na kuna utaratibu gani inatumika kwa anayetaka kupata nafasi ya internship?
Kama siyo agent wa serikali( TISS) huwezi pata internship serikalini. Kama uko serious unataka internship kwa ajili ya kufanya kwa vitendo uliyojifunza chuo nenda kwenye private sector lakini ujiandae kwa na nauli chai lunch na usitegemee posho yoyote unapoanza. Wee piga mzigo kinoma. Ukiona wameshakukubali wape notisi ya kuondoka. Wao wenyewe watakuita kwenye meza ya mazungumzo Period. Usisubiri serikali utaozea home.TAESA wanafanyaje kazi na kuna utaratibu gani inatumika kwa anayetaka kupata nafasi ya internship?
Acha kupotosha, wengi tu tumepita mikononi mwa TAESA na hatuna hata ndugu mmoja serikalini.Kama siyo agent wa serikali( TISS) huwezi pata internship serikalini. Kama uko serious unataka internship kwa ajili ya kufanya kwa vitendo uliyojifunza chuo nenda kwenye private sector lakini ujiandae kwa na nauli chai lunch na usitegemee posho yoyote unapoanza. Wee piga mzigo kinoma. Ukiona wameshakukubali wape notisi ya kuondoka. Wao wenyewe watakuita kwenye meza ya mazungumzo Period. Usisubiri serikali utaozea home.
Hawa ni agents wa serikali na baadhi ya makampuni binafsi wanotumika kurecruit interns.TAESA wanafanyaje kazi na kuna utaratibu gani inatumika kwa anayetaka kupata nafasi ya internship?
Mkuu kumbe ni lazima niende na vyeti vyangu ofisini kwao? Nilijua mtu ankishawatumia kwa email yao kazi imeisha nisubiri interviewAcha kupotosha, wengi tu tumepita mikononi mwa TAESA na hatuna hata ndugu mmoja serikalini.
Pale ni equal opportunity kwa wote. Fika pale ukiwa na nakala halisi za vyeti vyako vya taaluma utasajiriwa.
Utapangiwa interview, training kisha ikitokea nafasi utaitwa ila saivi watu ni wengi hivyo foleni ni kubwa pia
Labda utaratibu uwe umebadilika siku hizi. Lakini kipindi hicho sisi ilikua wanafanya usajiri pale pale ofisini kwao.Mkuu kumbe ni lazima niende na vyeti vyangu ofisini kwao? Nilijua mtu ankishawatumia kwa email yao kazi imeisha nisubiri interview
Miez mitatu iliyopita nilifanya registration taesa, up to now sijapata feedback yoyote wao wanadai nafasi ikipatkana watapiga simu, asa kupata hyo chance ya kupigiwa wakat wahtaj ni wengi ndo msala😆😆Acha kupotosha, wengi tu tumepita mikononi mwa TAESA na hatuna hata ndugu mmoja serikalini.
Pale ni equal opportunity kwa wote. Fika pale ukiwa na nakala halisi za vyeti vyako vya taaluma utasajiriwa.
Utapangiwa interview, training kisha ikitokea nafasi utaitwa ila saivi watu ni wengi hivyo foleni ni kubwa pia
Mnapenda penda sana kutaja TISS.Kama siyo agent wa serikali( TISS) huwezi pata internship serikalini. Kama uko serious unataka internship kwa ajili ya kufanya kwa vitendo uliyojifunza chuo nenda kwenye private sector lakini ujiandae kwa na nauli chai lunch na usitegemee posho yoyote unapoanza. Wee piga mzigo kinoma. Ukiona wameshakukubali wape notisi ya kuondoka. Wao wenyewe watakuita kwenye meza ya mazungumzo Period. Usisubiri serikali utaozea home.
Kama umesomea uhasibu, uhandisi wa maji na ujenzi au mamboy maendeleo ya jamii ingia website ya RUWASA kuna nafasi za kujitoleaTAESA wanafanyaje kazi na kuna utaratibu gani inatumika kwa anayetaka kupata nafasi ya internship?
Unapigiwa Tu kuwa nasubira wengi nnawajua walipigiwa wakapata tena bila interviewMiez mitatu iliyopita nilifanya registration taesa, up to now sijapata feedback yoyote wao wanadai nafasi ikipatkana watapiga simu, asa kupata hyo chance ya kupigiwa wakat wahtaj ni wengi ndo msala
kiongozi, samahani usajili unafanyia online au physical!?Unapigiwa Tu kuwa nasubira wengi nnawajua walipigiwa wakapata tena bila interview
Kwa upande wangu sikujisajili wala kufanya interview nlikua referred sabab kozi yangu watu kuwapata sio rahisi hivyo walinitafuta wenyewe.kiongozi, samahani usajili unafanyia online au physical!?
okay, kwa hiyo sisi ambao tunawatafuta inatakiwa tufanyaje?Kwa upande wangu sikujisajili wala kufanya interview nlikua referred sabab kozi yangu watu kuwapata sio rahisi hivyo walinitafuta wenyewe.
Pitia kwenye web yao utaona kuna maelekezo yote the thing is real nmefanya intern one yearokay, kwa hiyo sisi ambao tunawatafuta inatakiwa tufanyaje?
nasikia wasipo kutafuta ndio haujapita interview nimesikia sina uhakikaWote wanaofanya interview huwa wanapangiwa kituo vya kazi au unaweza feli interview na utajuaje kama hujafaulu?