Search results

  1. kofia ya plastiki

    Nyumbani kwa shujaa haviishi vilio

    Leo nitaongelea dhana hii katika approach ifuatayo, mara nyingi kwenye himaya ya shujaa vilio huwa ni vya mara kwa mara maana yeye mara nyingi anawindwa na maadui wa hapa na pale. Tuje sasa kwenye kiini ya mada. Kijana umemaliza chuo umeenda kwa wazazi ukaona kwa kipindi hiki ambacho ajira...
  2. kofia ya plastiki

    Mwanamke akisema "utaniua jamani" wakati wa ngono anamaanisha nini?

    Ilibidi nikatize zoezi nisije shitakiwa na kwa kosa la mauaji. Kabla ya hapo niliulizwa “nimejifunzia wapi?” Tafadhali wakuu wazoefu, nini maana yake? Je, hatua niliyochukua ni sahihi?
  3. kofia ya plastiki

    Wakuu Naomba usahihi wa hii email hapa chini kabla sijatapeliwa

    Hello, hope this email finds you well, The Government in association with USAID is giving out funds to entrepreneurs in order to improve their businesses during this time. First consideration goes to those that have ever applied for a grant before. For approval see the attachments below for...
  4. kofia ya plastiki

    Naomba kufahamishwa kuhusu hali ya maisha na mandhari ya mkoa wa Iringa

    Wakuu, Nimeona members mbalimbali zikielezea kua mahali fulani hapa Tanzania pazuri kuanzia maisha. Mfano, kuna mtu ameelezeea ishu ya Rungwe - Tukuyu; wengine Tanga, wengine Morogoro (Mji Kasoro Bahari) Lakini wengine wakifika even nje ya mkoa. Sasa najiuliza what about Iringa region...
  5. kofia ya plastiki

    Rafiki yangu Ana shida na kioo cha sumsung nch 24 TV ana laki na 20

    Wakuu nipo Iringa kuna ndugu hana access na social network amekuja TV yake imevuja wino kama kuna mtu Ana connection mahali tufanye biashara mpunga upo! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kofia ya plastiki

    Sauti ya nimechoka kwa mwanamke during sex ina maana gani?

    Wakuu naomba Kuuliza ukisikia ke anasema amechoka time ya sex ina maana gani na unatakiwa uchukue hatua gani kipind cha sex? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kofia ya plastiki

    Wapi naweza kupata access ya ufundi simu?

    Wakuu nina dhamira ya kuanza kujifunza kutengeneza simu both software and hardware.. Naombeni nijue wapi naweza anza.. Ajira zimekua kero sasa bora nizamie huku.. Asante! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kofia ya plastiki

    Moshi - iringa mgeni wangu anafikaje?

    Nipo iringa kuna mgeni wangu wa muhimu sana anataka asafiiri vipi anafikaje? Gari na nauli vipi? Asanteni wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kofia ya plastiki

    Mwenye soft copy Topic ya plate tectonics

    Msaada kwa mwenye soft copy Topic ya plate tectonics theory Geography A level nimfuate pm nitampa email a nitumie asante Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kofia ya plastiki

    Naweza kutengeneza vifungashio vya khaki. Nikaombe kazi au nifungue mwenyewe industry?

    Wakuu sawa na kichwa cha habari hapo juu. Changamoto ni mtaji wa kununua malighafi na kujua wapi naweza pata soko la bidhaa. Naomba ushauri wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kofia ya plastiki

    Tatizo la haraka! Nataka kuunga waya moja ina njia mbili nyingine njia 3

    Waya wa friji kichwa kimepasuka nimepata kichwa kingine imara sasa changamoto kwa ndani kuna nyaya mbili ila friji ina njia 3. Msaada wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kofia ya plastiki

    Corona ni dalili ya mwisho wa Dunia

    Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >> ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa muda mfupi na kuua wengi.. Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against...
  13. kofia ya plastiki

    Naomba kufahamu bei ya deli la barafu

    Wakuu naomba msaada wa haraka wa kujua bei za deli ya barafu nataka nikanunue kabla simu haijazima chaji.
  14. kofia ya plastiki

    Safari yangu Mtwara - Iringa yaanza kuzaa matunda

    Nilitoka mwaka jana mwezi wa 6 kutoka masasi. Baada ya kufeli biashara moja wapo kule Masasi, Nilikuja fuata cheti chuo kimoja wapo hapa Iringa nikatoa photocopy kama 20 hivi nikapeleka barua shule mbalimbali za hapa town sikuambulia chochote. Nilikuwa nimejishikiza kwa rafiki baadae mwezi wa 8...
  15. kofia ya plastiki

    Mawazo, hofu (panic attacks) zikikufika fanya yafuatayo usikaribishe kifo

    Wakuu katika kipindi hiki cha msukosuko wa uchumi, hali ya kipato kuwa ngumu, bei za vyakula kupanda, kuna ongezeko la watu ama mtu binafsi kukumbwa na stress na panic attacks za mara kwa mara. Tafadhali yafuatayo ni mambo ya msingi uyafanye ili kujiepusha na majanga zaidi ikiwemo kifo. 1...
  16. kofia ya plastiki

    Ni biashara gani nzuri kufanya maeneo ya shule ya msingi?

    Kwa mwenye uelewa wa biashara ambazo zinafanya vizuri maeneo ya shule ya msingi naomba anifahamishe ni aina gani au bidhaa gani nzuri asante
  17. kofia ya plastiki

    Nimechoka kusubiri ajira Tanzania, bora nikajaribu bahati yangu Burkina Faso

    Wakuu hawa TAMISEMI siwaelewi kabisa. Naomba muongozo jinsi ya kufika Burkina Faso kwenda kusaka ajira ya Ualimu, haiwezekani huu mwaka wa 3 serikali inatuangalia tu. Mara ooh kujitolea Temeke. NB: Nikifika kule nitawashtua watu waje kuangalia fursa zingine. Asanteni
  18. kofia ya plastiki

    Nimekataliwa kupunguziwa bei jiko la gesi (40000-38000)

    Jiko la gesi complete, yaani kweli uchumi si mzuri, nimeingia mjini leo nina elfu 38000 pungufu shilingi 2000 sehemu 4 kote wamekataa kunipunguzia elfu 2000 lengo nifanye nauli ya kurudi maskani lakini ilishindikana. Wafanyabiashara wakati mwingine mtuhurumie tu wengine tunabeba zege tunajipiga...
  19. kofia ya plastiki

    Ajira kwa waalimu wa sayansi Manispaa ya Temeke

    Wakuu sijaelewa kuhusu hii habari: "NEWS KWA WALIMU HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE IMETENGA NAFASI 155 ZA AJIRA UALIMU KUJITOLEA" Watakaofanya Vizuri Kuajiriwa Moja Kwa Moja July katika Ajira 400 Za Ualimu Temeke. Sasa ina maana kwamba ajira mwezi wa pili hakuna au? Sasa watu 155 wakati...
  20. kofia ya plastiki

    Ukikuta Hili tangazo ujue unaenda kwenye mabeseni mitaani

    Hahaha sitosahau nilikimbia kazi hii nilikuta tangazo limenoga kama hivi nikajua nimepata kazi kumbe dah hawa jamaa.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom