Ajira kwa waalimu wa sayansi Manispaa ya Temeke

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
416
Reaction score
409
Wakuu sijaelewa kuhusu hii habari:

"NEWS KWA WALIMU HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE IMETENGA NAFASI 155 ZA AJIRA UALIMU KUJITOLEA"

Watakaofanya Vizuri Kuajiriwa Moja Kwa Moja July katika Ajira 400 Za Ualimu Temeke.

Sasa ina maana kwamba ajira mwezi wa pili hakuna au?

Sasa watu 155 wakati walimu waliopo mtaani ni zaidi ya hiyo yaani nashindwa kuelewa kabisa. Mwenye kuelewa atuweke sawa hapa.

====
Halmashauri ya manispaa ya Temeke inakusudia kuajiri walimu 155 wa masomo ya sayansi .Walimu hao wataajiriwa mwezi Julai,tayari mchakato wa kuwapata umeanza.

Akizungumza katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika ofisini kwake leo Januari 27,2020 ,Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ndugu Lusubilo Mwakabibi amesema kwamba walimu hao wataajiriwa kwa mkataba, na watalipwa kwa kutumia mapato ya ndani.

‘‘Temeke tumeamua kuwekeza nguvu katika masomo ya sayansi, tunauhakika kwamba kwa hiki tunachokwenda kukifanya matokeo ya mwaka huu na ya miaka mingine ijayo yatakuwa tofauti’’alisisitiza matokeo.

Aidha Mwakabibi amesema kwamba hali ya ufaulu kwa masomo ya sayansi kwa mwaka 2019 umeongezeka , lakini ili kuendana na kasi na adhma ya Mhe .Rais ya Tanzania ya viwanda, yeye pamoja na menejimenti yake wameamua kuweka mkazo katika masomo hayo.

Walimu hao 155 watakao ajiriwa watagawanywa katika shule zote za sekondari ambapo kila shule inakusudiwa kupata tsakribaniwalimu 5.
 
Hizo nafasi ni kweli zipo pale manispaa ya Temeke , nilipoongea nao wakasema wanapokea barua kuanzia jumatatu. Tunaotaka kupata kazi dar twendeni tukajitolee maana kujitolea ni bora kuliko kukaa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikal ilisema itaajir walim 16,000 tarifa ilitolew bungeni cjui imeishia wap hii serekl pasua head!
 
Write your reply...mm ciend mkajitolee nyie huu ni ujinga kwel kwel leo mwalim wa shahada anajitolea asee kua uyaone
 
Sasa ulitaka uajiriwe vp?? Kujitolea ni sehem ya kutafuta ajira taaluma nyingine kama IT ,accounts etc tumeshazoea unajitolea Kwa muda fursa ikipatikana unajipachika,ila walimu mmejizoeasha vibaya Sana kulialia kwnye kila kitu,suala la kujitolea lipo kila mahala duniani tokeni kwenye ujima huko,sasa hv mpo kwenye dunia halisi survival for the fittest,mjifunze kuandika CV nzuri,kufanya interview nyinginyingi,kujitolea,etc,nawakumbusha wenzenu wanasheria mwaka Jana walitws na makonda wakajitolee suala la ardhi wapo mpaka Leo na hukajawah kutokea wamelalamika mitandaoni

kunakujitolea kujimaliza just imagine garama za maisha everything for 6 month apo umepanga, kujilipua... na ela utakayo tumia apo for six month nimtaji tosha wakufanya ata biasha,,,1.,mfano turudi katika maisha ya kawaida ...ukilima matikiti ambapo mtaji wake sio mkubwa, iyo ela yakujikimu + kodi nimtajitosha wa kilimo cha matikiti ambayo yanachukua 3month what abt 6 month umepiga shingapi? 2.ela utakayo tumia Ukifungua kibanda cha ku kaanga chips ndani ya miez sita siutakua mbalisana? chamsingi BE FLEXIBLE (survival for the fittest) vua joho ilo ekavyeti kwa begi jaribu pande zingine. .... kunafursa nyingi ambazo unaweza ukafanya ukua unatafuta au unasubir ajira ......kumbuka politician awana abari nasisi account zina soma fresh, washatutengenezea mfumo wa elimu unaotengemea maamuzi yao wakisubir mwezi wa kumi tudanganywetena maisha yaende ...Your true friend is you, your soul and your God....
 
Hii program ya temeke ilikuepo tangu mwaka 2016 na ahadi ni hiz za kuajiriwa baada ya muda. Wengine wavumilivu waliajiliwa ila ilichukua muda sana just imagine mtu kajitolea toka mwaka 2016 mpaka 2019 ndio akaajiliwa wengine sio wavumilivu waliacha kutokana na gharama za maisha kuwa juu mana wale walikua wanapewa laki kwa mwez na shule walizopangiwa zilikuwa mbali kama jamaa alipangiwa shule 3, kimbiji, kisarawe 2 na abdu jumbe alafu yeye anakaa tmk just imagine hyo laki walikuwaje wanaweza kumudu mahitaji??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajira za walimu saiv ni shida sana, siyo private wala serikali;
Fani ya ualimu inadharaulika sikuhizi
 
Hii program ya temeke ilikuepo tangu mwaka 2016 na ahadi ni hiz za kuajiriwa baada ya muda. Wengine wavumilivu waliajiliwa ila ilichukua muda sana just imagine mtu kajitolea toka mwaka 2016 mpaka 2019 ndio akaajiliwa wengine sio wavumilivu waliacha kutokana na gharama za maisha kuwa juu mana wale walikua wanapewa laki kwa mwez na shule walizopangiwa zilikuwa mbali kama jamaa alipangiwa shule 3, kimbiji, kisarawe 2 na abdu jumbe alafu yeye anakaa tmk just imagine hyo laki walikuwaje wanaweza kumudu mahitaji??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo program yao ndio wanahitaji walimu wa sayansi tupu au mpaka Arts.

Man Of October
 
Hizo nafasi ni kweli zipo pale manispaa ya Temeke , nilipoongea nao wakasema wanapokea barua kuanzia jumatatu. Tunaotaka kupata kazi dar twendeni tukajitolee maana kujitolea ni bora kuliko kukaa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo program yao ndio wanahitaji walimu wa sayansi tupu au mpaka Arts na deadline lini.

Man Of October
 
Back
Top Bottom