Wapi naweza kupata access ya ufundi simu?

Wakuu nina dhamira ya kuanza kujifunza kutengeneza simu both software and hardware.. Naombeni nijue wapi naweza anza.. Ajira zimekua kero sasa bora nizamie huku..

Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mafunzo yanatolewa na TCRA na Veta pamoja na DIT nafikiri Iringa kwenye mwez wa tano au wa sita watakuwa wamewafikia!! kama fundi simu atopata mafunzo haya atakamatwa endapo ataendelea tengeneza simu mtaani
https://dailynews.co.tz/news/2018-08-255b8114d64904a
 
Yes kwa software ni rahis sana kujifunzia online...

Lakin bado kama yupo serious..hata online anaweza ijua hardware vizuri....kuna dogo nilimpa channels za hardware saiz naona anareball mpaka ic ..its all about passion mana ukisema hadi mtu basi utasubr sana.

Inategemea mkuu anataka kujifunza ufundi simu kwa upande gan. Hardware kwa kugoogle tu sio rahisi awe fundi simu labda awe fundi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una uwezo jichange uende Uganda kuna college ina itwa Makulu ni one of the best technical college EA unajifunza kisha unakua certified na Android, iOS hutojutia mda wako nlimpeleka mdogo wangu sa hivi anapiga hela sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio nimewai hudhuria haya mafunzo pale Dar teki.Kwa sasa mafunzo haya yanaendelea Mwanza. ni mazuri kwani yanacover software na hardware. na wanatoa cheti kwa wanaomaliza
Karo yao imekaaje mkuu maana wakifika eneo fulani wanachukua baadhi ya mafundi wamawafundisha bure kisha wanaobaki sijui inakuwaje sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ya muda gani?
6 weeks...kwa sasa yapo yanayotolewa na TCRA pale VETA Kipawa na Pia Dar Tek ambapo TCRA inalipia washiriki Ada 100% so tembelea hizi sehem 2 upate maelezo zaidi,batch ya vijana 400wamemaliza VETA Kipawa last Ijumaa
 
Hao wakufunzi wa DAR ndio watahudumu CHUNYA NA ILEJE?
 
Hao wakufunzi wa DAR ndio watahudumu CHUNYA NA ILEJE?
Mbeya mjini wameshaanza na wana vijana toka Songea,Songwe n.k! sijajua Chunya na Ileje itakuwaje.Jamaa zangu watafungua Chuo hivi karibuni wakiwa na support ya Iphone,Samsung,Tecno na Nokia.kama unahitaji maelezo zaidi PM me!!.Mimi nna repair mpaka logic boards za Iphone na pia nna repair Chip level( nnatoa any IC na kuirudisha kwenye simu yeyote) so ata kama imezima itawaka,ila nna ishu zingine nafanya za IT so wateja wakiwa wavumilivu nawafanyia.kama unataka mafunzo tuwasiliane....
 
Mafundi wa RUNGWE NA KYELA nao inabidi wakasomee Mbeya.

Vipi kwa mafundi wenye familia zao ambao hiyo ndio ajira inawachukua muda gani kukaa darasani huku wakihudumia familia zao.

Na ada ni tsh ngapi?
 
Back
Top Bottom