Nimekataliwa kupunguziwa bei jiko la gesi (40000-38000)

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Jiko la gesi complete, yaani kweli uchumi si mzuri, nimeingia mjini leo nina elfu 38000 pungufu shilingi 2000 sehemu 4 kote wamekataa kunipunguzia elfu 2000 lengo nifanye nauli ya kurudi maskani lakini ilishindikana.

Wafanyabiashara wakati mwingine mtuhurumie tu wengine tunabeba zege tunajipiga ndo tunapata hiyo pesa.
 
Tumia hela hio ikuzoee
Jiko la gesi complete, Yani kweli uchumi si nzuri nimeingia mjini Leo nina elf 38000 pungufu shilling 2000 sehemu 4 kote wamekataa kunipunguzia elf 2000 lengo nifanye nauli ya kurudi maskani lakini ilishindikana.

Wafanya biashara wakat mwingine mtuhurumie tu wengine tunabeba zege tunajipiga ndo tunapata hiyo pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom