Mawazo, hofu (panic attacks) zikikufika fanya yafuatayo usikaribishe kifo

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
418
500
Wakuu katika kipindi hiki cha msukosuko wa uchumi, hali ya kipato kuwa ngumu, bei za vyakula kupanda, kuna ongezeko la watu ama mtu binafsi kukumbwa na stress na panic attacks za mara kwa mara.

Tafadhali yafuatayo ni mambo ya msingi uyafanye ili kujiepusha na majanga zaidi ikiwemo kifo.

1. Kuwa bize mara kwa mara kama kufanya shughuli fulani ili akili isahau situation.

2. Jitamkie kuwa wewe ni mshindi kuliko ilo tatizo lako sema hili nalo litapita

3. Fanya jambo linalokufurahisha kila wakati

4. Chat na unayempenda mara kwa mara

5. Kila lipokujia wazo baya libadili kuwa positive sema waza kila wakati kuwa utashinda na zaidi ya kushinda haijalishi unapitia shida gani.

Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,923
2,000
Nikweli Mkuu imetupa nondo mzuri sana. Mawazo ni blue print inategemea una waza nini Mara kwa Mara kama unawaza ushindi na mafanikio basi uwe na uhakika utakua hivyo.
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
2,834
2,000
Kuna time inafika unaona kila kitu hakiwezekani yaani haijalishi utajisahaulisha mara ngapi ila tatizo lipo pale pale.

Mbaya zaidi katika muda kama huu utajikuta peke yako yaani hata wale uliohisi wapo loyal wanaonesha true colours. Wengine wataendelea na itafika time wanachoka na unajikuta upo ALONE tena

Life ni complicated
 
Na ukiendekeza bad memory ndo tunanza kukukosa taratibu
 
Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,637
2,000
Kuna time inafika unaona kila kitu hakiwezekani yaani haijalishi utajisahaulisha mara ngapi ila tatizo lipo pale pale.

Mbaya zaidi katika muda kama huu utajikuta peke yako yaani hata wale uliohisi wapo loyal wanaonesha true colours. Wengine wataendelea na itafika time wanachoka na unajikuta upo ALONE tena

Life ni complicated
Ni kweli kabisa
 
interlacustrineregion

JF-Expert Member
Oct 28, 2018
7,162
2,000
Naona umeamua kunisema mkuu
Kuna time inafika unaona kila kitu hakiwezekani yaani haijalishi utajisahaulisha mara ngapi ila tatizo lipo pale pale.

Mbaya zaidi katika muda kama huu utajikuta peke yako yaani hata wale uliohisi wapo loyal wanaonesha true colours. Wengine wataendelea na itafika time wanachoka na unajikuta upo ALONE tena

Life ni complicated
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
2,834
2,000
Naona umeamua kunisema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu komaa kiume maana haya huwa tunayajua kwa experience ila ukiangalia tamthilia utajenga mavitu kibao kichwani ambayo kiuhalisia hayapo..

Jua tu Kila mtu ana priorities zake mkuu. Mtu ajali ndugu na mahusiano yake. Bado aweke na kazi ya kumtafutia kipato then uje wewe. Ni process mkuu, af no hard feelings unaelewa tu kibishi

Cha msingi yakizidi unatafuta tu pa kuyatolea, hata kama ni jf kwa member mwenye busara zake ili usije fanya vitu vya ajabu ili kupata relief
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
2,834
2,000
Kofia ya plastic ndio helmet?

Kuna nyakati lazima ubaki alone, Mungu anakukumbusha kutokutegemea kitu, mtu au hali fulani ikuokoe!
Sanaaaaaaa na huu ndio uhalisia. Pambana na saidia sana watu ila itafika time utabaki alone

Watu huwa wanakaa karibu nasi pale wanapotuhitaji ila sio tunapowahitaji na walio kinyume na hili ni nadra sana kuwapata
 
dumbi

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
670
1,000
Vp mkuu kama una stress za mapenzi ni hivihivi au kuna njia nyingine.

tatizo lugha
 
kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
418
500
Pole mkuu komaa kiume maana haya huwa tunayajua kwa experience ila ukiangalia tamthilia utajenga mavitu kibao kichwani ambayo kiuhalisia hayapo..

Jua tu Kila mtu ana priorities zake mkuu. Mtu ajali ndugu na mahusiano yake. Bado aweke na kazi ya kumtafutia kipato then uje wewe. Ni process mkuu, af no hard feelings unaelewa tu kibishi

Cha msingi yakizidi unatafuta tu pa kuyatolea, hata kama ni jf kwa member mwenye busara zake ili usije fanya vitu vya ajabu ili kupata relief
Mkuu hapa sijakuelewa nini umemaanisha
 
kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
418
500
Kofia ya plastic ndio helmet?

Kuna nyakati lazima ubaki alone, Mungu anakukumbusha kutokutegemea kitu, mtu au hali fulani ikuokoe!
Tena hapa ndo msingi wa amani.. Usithubutu kuwekea tumaini lako kwenye pesa, Mali, ndugu, ukiona mambo mengi magumu yanakukuta ni Mungu anayaachia kusudi ili umtegemee yeye tu na si vinginevyo.. Refer safari ya wana wa Israel pale bahari ya sham
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom