kofia ya plastiki JF-Expert Member Joined Jun 9, 2019 Posts 416 Reaction score 409 Feb 28, 2020 #1 Wakuu naomba msaada wa haraka wa kujua bei za deli ya barafu nataka nikanunue kabla simu haijazima chaji.
Wakuu naomba msaada wa haraka wa kujua bei za deli ya barafu nataka nikanunue kabla simu haijazima chaji.
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,932 Reaction score 34,918 Feb 28, 2020 #2 Inategemeana na Ukubwa. Yanaanzia Tsh 20,000