Search results

  1. Bella Ciao

    HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL

    Mwaka uliopita umekuwa mwaka mgumu sana kwangu.. Lakini sijachoka bado napambana Niwatakie wote heri ya sikukuu ya mwaka mpya ukawe baraka kwetu sote
  2. Bella Ciao

    Kwanini hospitali ya Dr Ngoma haifunguliwi?

    Kuna hospitali ipo wilaya ya Mwanga, imefanana na hospitali ya Ocean road iliyopo Dar es salaam, Mmiliki wake ni Dr Ngoma yule mwenye "MAMA NGOMA HOSPITAL" Swali langu kwanini inachelewa kufunguliwa?
  3. Bella Ciao

    Huyu mdogo wangu anafaa kuwa kiongozi?

    Habari wakuu? Nina mdogo wangu anaogombea uongozi shule anayosoma. Kilichonishangaza amewaambia wanafunzi wenzake "If i get elected all students will get less home-works" NB: Politicians are not born, they are made "who lies best, wins."
  4. Bella Ciao

    Utajuaje anakupenda?

    Habari wakuu? Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake kamili(kwangu hili sio shida) Nataka nitoke kwenye ujana nafikiri huu ni muda sahihi kwangu wa kuoa...
  5. Bella Ciao

    Naulizia jenerata za ku-pump maji

    Msaada Wakuu wapi naweza kupata jenereta ndogo za ku-pump maji kwaajili ya kumwagilia kwa maeneo ya Moshi au Arusha na bei zake zipoje Pia naomba msaada ni vitu gani vya kuangalia kabla hujalinunua Asanteni sana
  6. Bella Ciao

    Hii video inayosambaa mitandaoni kuhusu Corona Moshi ni ya kweli?

    Kuna video inasambaa inasemekena ni Moshi kuna wagonjwa wamekutwa na corona airport.. Nimeshindwa ku-upload hiyo video.. Nimeweka tu screenshot za picha.. Updates inavosemekana hao waathirika walipokelewa pale airport... Halafu wakapelekwa Mawenzi hospital (mawenzi ndio sehemu iliyotengwa...
  7. Bella Ciao

    Elimu ya kuwakabili nyoka na n'ge itolewe mashuleni

    Habari wakuu? Watu wengi hapa kwetu Tanzania wakiona nyoka kitu cha kwanza wanawaza ni kumuua. Bila kujua nyoka wana faida nyingi sana katika eco-system na pia wanaweza kutumika katika tafiti mbalimbali za kisayansi. Ikumbukwe siyo nyoka wote wana madhara kwa binadamu bali wana faida kwetu...
  8. Bella Ciao

    Only memes

    .
  9. Bella Ciao

    Raped by robbers & got kicked out of my marriage...

    Baada ya kusoma mpe ushauri huyu bidada... I am a Banker in my early 30s and going through a messy divorce. I married my husband as a virgin. I have never been with any man but him until I was raped. I didn't know anything about orgasm, climax or what have you because I have never experienced...
  10. Bella Ciao

    Unawajua hawa wote kwa Kiswahili fasaha?

    Aardvark - Muhanga African Wild Dog - Mbwa mwitu Ant – Sisimizi/Chugu/Sungusungu (Flying) ant - ngumbi (Safari) ant - Siafu Baboon - Nyani Bat - Popo Bat-eared fox – Mbweha masikio Bird - Ndege Blue Monkey - Kima Buffalo - Nyati / Mbogo (Lesser) Bushbaby - Komba Bushbuck - Pongo / Mbawala...
  11. Bella Ciao

    Tembelea hifadhi ya Mikumi kwa gharama nafuu

    Kama wewe ni mkazi wa Dar es salaam, Morogoro au maeneo ya karibu, kuna ofa maalum kwaajili yako msimu huu wa sikukuu. Tembelea hifadhi ya Mikumi kwa gharama ya shilingi laki tatu (300K) Utapata usafiri kutokea Morogoro mjini na kuingia ndani ya hifadhi kwa siku nzima Ofa hii haijumuishi...
  12. Bella Ciao

    Wanawake weusi zaidi ya 600 sio mchezo, kama kweli wameambukizwa

    Huyu jamaa JASON ROGER POPE, maarufu kama "Dj KID" anayeishi huko Florence, South carolina, anatuhumiwa kuambukiza kwa makusudi wanawake zaidi ya 600 (weusi) ikiwemo na watoto wa umri (13-17) Katika picha zake zote alizopiga na wanawake hao, hakuna hata moja ametabasamu au kuonyesha hali yoyote...
  13. Bella Ciao

    Hii nchi inayotajwa hapa sio Tanzania? Na hawa watu warefu ni kina nani?

    Naomba modes msihamishe hii mada kwenye jukwaa la dini..... Wakuu nimeona hapa kwenye kitabu cha ISAYA 18:1 kuna nchi inazungumziwa.. Naomba wataalamu mnijuze hii ni nchi gani? 1Ole, wake nchi iliyojaa mvumo wa mabawa, nchi iliyoko ngambo ya mito ya Kushi! 2Inatuma wajumbe ambao wanasafiri...
  14. Bella Ciao

    Msaada: Napata shida kwenye koo, maumivu makali nikimeza kitu

    Wakuu napata shida nikimeza chakula nasikia mamumivu makali kwenye koo upande wa juu wa puani kwa ndani.. Yani nahisi kama kuna kitu kinazuia .... Naombeni msaada wenu wakuu
  15. Bella Ciao

    Utafanya nini endapo utagundua unakufa kesho?

    Je endapo ukijua unakufa kesho utafanya kitu gani?
  16. Bella Ciao

    Nyumba za wachungaji vs nyumba za waumini

    Hizi ni nyumba za wachungaji wanao waambia waumini kama wasipolipa zaka au fungu la kumi wataalaaniwa na watakwenda motoni Nyumba za chini ni nyumba za waumini wenyewe
  17. Bella Ciao

    Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

    Wakuu habari, Ningependa kujiingiza kwenye kilimo, lakini bado sijajua ni mazao gani nataka kulima. Nilifikiria kulima mpunga lakini moyo wangu unasita. Kilimo gani kinaweza kunitoa kimaisha kwa sasa? Ningepata na mchanganuo ingekuwa vizuri zaidi. Ukiachana na kilimo, pia niliwahi kufikiria...
  18. Bella Ciao

    Hili wazo linaweza kuwa solid?

    Wakuu kutokana na ugumu wa maisha, na kukosa pesa ya mtaji kuna kitu nimefikiria naomba mnishauri kama nikiwa serious kinaweza kunitoa au bado nahitaji nifanye uchunguzi zaidi. Wazo nililofikiria ni kwamba nataka kuwa kama dalali wa hawa watu wanao uza simu, Tv, nguo, nk Yani wananitumia picha...
  19. Bella Ciao

    Ziwa Duluti, Arusha

    Kwa mujibu wa taarifa za kusadikika, inamaanika neno "Duluti" ni jina la mwanamke aliyekuwa akiishi kule ukanda wa meru Mwanamke huyu alipotea katika mazingira ya kutatanisha, watu walimtafuta kila mahali lakini hawakumpata Miezi michache baada mwili wake ulionekana katika ziwa hili akiwa...
  20. Bella Ciao

    Materuni waterfalls Moshi

    Hii ni waterfall kubwa kuliko zote hapa mkoani kilimanjaro, inapatikana Moshi vijijini mbele kidogo ya Uru kishumundu.. Ni kama kilometa 12 kutokea moshi mjini Ni moja kati ya waterfalls zilizopo pembezoni mwa mlima mrefu barani Africa, Mlima kilimanjaro Maporomoko haya yamezungukwa na kabila...
Back
Top Bottom