Naulizia jenerata za ku-pump maji

Naulizia jenerata za ku-pump maji

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
1,804
Reaction score
4,475
Msaada

Wakuu wapi naweza kupata jenereta ndogo za ku-pump maji kwaajili ya kumwagilia kwa maeneo ya Moshi au Arusha na bei zake zipoje

Pia naomba msaada ni vitu gani vya kuangalia kabla hujalinunua

Asanteni sana
 
Mkuu hizo zinaitwa water pump zipo za aina nyingi sana kwa Arusha tembelea maduka kuanzia stendi Kuu ukifuata Barabara ya Makongoro kuelekea Barabara ya Wachaga utaziona ufanye uchaguzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom