Utajuaje anakupenda?

Bella Ciao

JF-Expert Member
May 28, 2019
1,784
2,000
Habari wakuu?

Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake kamili(kwangu hili sio shida)

Nataka nitoke kwenye ujana nafikiri huu ni muda sahihi kwangu wa kuoa, lakini huyu mwanamke simuelewi, nikimpa pesa ama kitu chochote hatoi shukrani.. Mfano anaweza kunambia ana shida ya elf 30 then nikimtumia kwenye simu hajibu kama ameipata na wala hasemi "asante"

Hajawai kunitamkia neno "Nakupenda" japo huwa anasema ananimisi. Nikimwambia sipo sawa haulizi kwanini wala hataki kujua sababu... Sanasana anapenda kunitamkia "Let me give you time & space, find me when you feel uko sawa"

Kiufupi hayupo romantic.

Nakosea wapi wakuu? Nilitaka nimuweke ndani maana kwenye 6*6 yupo vizuri ila hofu yangu ndio hiyo.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,377
2,000
Wajibu wa kupenda Ni wa mwanaume..Ila mkuu mwenzangu ushasema single mother hapo pambana na hali yako...Ila sikukatazi kuwa naye kuhusu hayo machangamoto usiwazie Sana mambo waga yanabadilika yataisha tu.....sema Nini mkuu Nina shida ya buku tano na Mimi nitumie kiushikaji tu natanguliza shukrani Asante .namba yangu nime KU PM JINA LITAKUJA JOHN
 
Sijaiona mkuu, labda ujaribu kutuma tena
 
Bella Ciao

JF-Expert Member
May 28, 2019
1,784
2,000
Yaan chakukushauri huyo hamna kitu empty set Jiondoe mapema utajuta kwanza hua wanakulana na aliyemzalisha
Ila kuna masingle mother wapo good wanaojielewa na msimamo ila huyo wako
DISHI LIMEYUMBA
usipotusikiliza ipo siku utarudi na uzi wako hapa
Mkuu aliemzalisha kwa sasa ni marehemu,
 
ukuwi

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
753
1,000
Kuna watu zaidi ya watano au kama sikosei kuna mada zaidi kumi na zote hizo wanazungumzia kuhusu single mama na kuhusu swala la mtu kutaka kuoa uoe bikra kwahiyo mm sina la kukushauri zaidi upitie katika hizo mada limsemwalo lipo kama halipo basi lipo njiani laja
 
Bella Ciao

JF-Expert Member
May 28, 2019
1,784
2,000
Kuna watu zaidi ya watano au kama sikosei kuna mada zaidi kumi na zote hizo wanazungumzia kuhusu single mama na kuhusu swala la mtu kutaka kuoa uoe bikra kwahiyo mm sina la kukushauri zaidi upitie katika hizo mada limsemwalo lipo kama halipo basi lipo njiani laja
Mkuu swala la kuoa bikra, na swala la single mothers hiyo sio mada yangu.. ila nitajaribu kufuata ushauri wako ..

Asante
 
Nan kaniroga

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
732
1,000
Habari wakuu?

Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake kamili(kwangu hili sio shida)

Nataka nitoke kwenye ujana nafikiri huu ni muda sahihi kwangu wa kuoa, lakini huyu mwanamke simuelewi, nikimpa pesa ama kitu chochote hatoi shukrani.. Mfano anaweza kunambia ana shida ya elf 30 then nikimtumia kwenye simu hajibu kama ameipata na wala hasemi "asante"

Hajawai kunitamkia neno "Nakupenda" japo huwa anasema ananimisi. Nikimwambia sipo sawa haulizi kwanini wala hataki kujua sababu... Sanasana anapenda kunitamkia "Let me give you time & space, find me when you feel uko sawa"

Kiufupi hayupo romantic.

Nakosea wapi wakuu? Nilitaka nimuweke ndani maana kwenye 6*6 yupo vizuri ila hofu yangu ndio hiyo.
Hapo mkuu utapoteza mda wewe sakata papuchi tu upite zako hakuna mwanamke hapo
 
Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,681
2,000
Habari wakuu?

Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake kamili(kwangu hili sio shida)

Nataka nitoke kwenye ujana nafikiri huu ni muda sahihi kwangu wa kuoa, lakini huyu mwanamke simuelewi, nikimpa pesa ama kitu chochote hatoi shukrani.. Mfano anaweza kunambia ana shida ya elf 30 then nikimtumia kwenye simu hajibu kama ameipata na wala hasemi "asante"

Hajawai kunitamkia neno "Nakupenda" japo huwa anasema ananimisi. Nikimwambia sipo sawa haulizi kwanini wala hataki kujua sababu... Sanasana anapenda kunitamkia "Let me give you time & space, find me when you feel uko sawa"

Kiufupi hayupo romantic.

Nakosea wapi wakuu? Nilitaka nimuweke ndani maana kwenye 6*6 yupo vizuri ila hofu yangu ndio hiyo.
Bila kupoteza muda nataka nikwambie braza upo katika mahusiano ambayo unatumika na moja kati ya dalili unatumika ni pale mwanamke wako anapokuwa na shida ndio hujifanya mwema kwako na akishapata anachopata anachapa lapaa ushauli wangu kwako broo

Huyo mwanamke dawa yake ni moja tuu ni kumpiga miti kama mara tatu alafu unamtekeleza aendelee na maisha yake ila ukijifanya ww ndo lover boy unataka kumuonesha unajua kupenda ujiandae kufilisika kiuchumi, kimawazo na kupoteza mwelekeo wa maisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom