nakupenda

  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nafanya hivi kwa kuwa nakupenda

    Mapenzi mubashara 😻
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda sana mume wangu tajiri wa kusini

    Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

    Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium Kaa karibu kwa Live updates Vikosi vya timu zote (Team news) Mechi imeanza 4' Mashambulizi kwa...
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Mallerina mi nakupenda bure

    Dondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies. Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads. Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future President, nakuletea pepsi baridi.
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani, Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki Jiko la...
  6. Seawhale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

    Kiitikio(pamoja) Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali… Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii Saida Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu. Banana Na mimi nashukuru mama, unajua hilo Saida...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nakupenda Rebeca 83

    Hello Rebeca nimetokea kukupenda naomba uwe mpenzi wangu
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda Valhalla

    Mpenzi Valhalla, Natumai unaelewa jinsi ulivyo wa thamani kubwa moyoni mwangu. Unapokuwa karibu nami, hisia zangu hutulia, na ulimwengu wote unaonekana kusimama. Ninakutamani kuwa wangu, si kwa muda mfupi tu, bali kuwa mpenzi wangu wa milele. Najua kwamba bado unahisi uzito wa kumbukumbu za...
  9. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We kijana, nakupenda sana

    Popote ulipo ujue nakupenda https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=oGtBuz_f-cenPpx7 https://youtu.be/3JWTaaS7LdU?si=qg_mvYEECSurtoDm
  10. pachawako

    JamiiForums Tanzania Nakupenda customer care wa CRDB.

    We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama pesa nitazitoa ili tu uwe wangu. Nimekutazama vizuri, una uzuri wa sauti, tabasamu, karangi kako dark...
  11. Tamu3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda wewe shani

    NAKUPENDA WEWE SHANI Nakupenda wewe Shani, shairi mekutungia, Kila napokuoneni, nashindwa kukuambia, Nikwambie neno gani, ujali zangu hisia, Nakupenda wewe Shani, shairi mekutungia. Watembea kwa maringo, nyuma umefungashia, Unaizungusha shingo, madoido waachia, Fungua chako kifungo...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakupenda Mke wangu ila naomba usinipige tena

    Jambo? Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia Ama kweli mapenzi ni kitu chenye nguvu sana, Jamaa leo tukiwa sehemu tumetulia akatuambia kuwa anampenda sana wife wake...
  13. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

    Yaani ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi. Sijui tatizo nini? Baby nakupenda! Baby mwenyewe 👇🏽
  14. figganigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ukisema nakupenda, maana yake ni nitegemee

    Kupenda sio hisia, ni uwezo. Mwanamke ukisema unampenda, anasahauu hapo hapo, ndo maana wanauliza unanipenda? Wanataka kusikia Unavyosema nakupenda maana yake ni nitegemee. Hivyo kama Umependa maana yake mpe hela ya kila kitu. Majukumu ya mwanamke ni kukuheshimu tu. Yaani mwanamke ukimpenda...
  15. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nakupenda Tanzania

    TANZANIA NAKUPENDA nchi yangu napenda vyote ulivyo jaaliwa na mwenyez mungu TANZANIA imejaaliwa vitu vingi vinavyo vutia nakupendeza macho mwakila mtu mito, maziwa, bahari, mbuga za wanya na vivutio vingi kama vile mbuga ya saadani mlima Kilimanjaro, hifadhi ya taifa ya kitulo, muga za mikumi...
  16. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Neno 'Nakupenda' kwa Lugha ya kwenu linatamkwaje?

    Jamani neno NAKUPENDA kwa kilugha cha kwenu mnasemje andika hapo tujue taja na kabila NDIHUDOBOHA -Kibena hicho kwa kule kwetu wewe je
  17. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

    Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu. Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele...
  18. Napoleone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

    Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mhhhhh...Simba SC yangu 'Nakupenda' sana tu ila hili la Uwanja wetu 'Mchakato' ni wa mapema na wa 'Kimhemuko' zaidi

    Anyways nawatakieni Kila Ia Kheri wote.
  20. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Kumtamkia mzazi wako nakupenda kimaadili ya Kitanzania ni utovu wa nidhamu

    Habari wakuu, Tangu awali nilishasea huu uzungu na haya maisha ya watoto wa kishua sijui wanampango gani na vizazi vyetu, Siku moja kuna star mmoja na mchekeshaji maarufu alifiwa na mama yake mzazi sasa jamaa alishinda akipost video alivyokuwa anaishi na mama yake mara wabusiane mara...
Back
Top Bottom