Nyumba za wachungaji vs nyumba za waumini

Nyumba za wachungaji vs nyumba za waumini

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
1,804
Reaction score
4,475
Hizi ni nyumba za wachungaji wanao waambia waumini kama wasipolipa zaka au fungu la kumi wataalaaniwa na watakwenda motoni

Nyumba za chini ni nyumba za waumini wenyeweView attachment 1188150
images%20(11).jpeg
images%20(6).jpeg
images%20(12).jpeg
images%20(14).jpeg
images%20(13).jpeg
images%20(8).jpeg
images%20(7).jpeg
 
Hao waumini wa kanisa lenu aseee...Njoo mtaa huu wa pili Uone nyumba za waumini.
 
Nimeona moja hapo ya mama lwakatare kipindi cha JK nusura ivunjwe kisa iko kalibu na bahari. ha ha ha a ha ila nimecheka sana icho choo unaambiwa uhakikishe unalenga
 
Niliwahi kukaa sehemu na jamaa flani hivi akawa anasema tuko tunachanga pesa pale kanisa kwetu tunamnunulia zawadi ya gari maana anapadrishwa.

Nikamcheki tu nikasema hiiiiiiiiiiiiiii,maana ye mwenyewe ni mpanda haice lkn anamchangia mzee baba apate Rav 4.
 
Back
Top Bottom