Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
Kama wewe ni mkazi wa Dar es salaam, Morogoro au maeneo ya karibu, kuna ofa maalum kwaajili yako msimu huu wa sikukuu.
Kama utahitaji maelezo zaidi unaweza kuuliza hapahapa. Pia, kama unahitaji kwenda peka yako kwa kutumia gari yako mwenyewe naweza kukupa muongozo hapa hapa.
UPDATES
Asante kwa wote mliojitokeza na nawashukuru sana, Nimefanikiwa kupata wateja wanne hapa JF na wengine 6 njee ya Jf ...Kulingana na ratiba hii ilikuwa ni ofa yangu kwa msimu huu na nafasi tayari zimejaa.. Naomba mniwie radhi kwa ambao mmechelewa.. ila kama mna hitaji kwenda kutalii inawezekana ila sio kwa gharama iyo tena
Asanteni sana sikutegemea mwitikio huo
- Tembelea hifadhi ya Mikumi kwa gharama ya shilingi laki tatu (300K)
- Utapata usafiri kutokea Morogoro mjini na kuingia ndani ya hifadhi kwa siku nzima
- Ofa hii haijumuishi kiingilio wala chakula au vinywaji
- Utalipa hiyo hiyo Laki tatu hata kama mkiwa saba
- Dereva ni tour guide hivyo hamtahitaji kulipia kwa ajili ya TOUR GUIDE
- Kiingilio kwa watu wazima pale hifadhini ni shilingi 5900/= na watoto ni 2300/=
- Watoto chini ya miaka 5 ni bure