Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
409
Points
1,000
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
409 1,000
Wakuu habari,

Ningependa kujiingiza kwenye kilimo, lakini bado sijawa na maamuzi sahihi kuhusu mazao nitakayo lima..
Hapo kabla nilikuwa natamani nilime mpunga lakini moyo unasita. Pia niliwahi kufikiria kuhusu ufugaji wa samaki.

Wakuu naomba mnijuze ni kilimo gani kinaweza kunitoa kimaisha kwa sasa?
Ningepata na mchanganuo ingekuwa vizuri zaidi,

Asanteni.
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
741
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
741 1,000
Kilimo cha parachichi
Unapanda miche baada ya miaka mitatu unaanza kuvuna
Kilomoja ya parachichi 1200 mpaka1600 inategemea na ubora wake
Wateja ni wazungu na wakenya yanasafirishwa nnje
Wanalima njombe na mbeya
 
Mkuu hiyo miaka mitatu sitaweza kuhimili changamoto... atleast maximum miezi 6.. Zao linalo limwa zaidi ya mda huo sitaweza
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
741
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
741 1,000
Mkuu hiyo miaka mitatu sitaweza kuhimili changamoto... atleast maximum miezi 6.. Zao linalo limwa zaidi ya mda huo sitaweza
Halina vhangamoto ukilima unarudi zako mjini kuendelea na shughuli zako nyingine kule unatafuta kijana wa jirani awe anachungulia chungulia.
Lima tangawizi
Lima pilipili mwendokasi
Lima viazi mviringo
 
Alawido

Alawido

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
535
Points
1,000
Alawido

Alawido

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
535 1,000
Halina vhangamoto ukilima unarudi zako mjini kuendelea na shughuli zako nyingine kule unatafuta kijana wa jirani awe anachungulia chungulia.
Lima tangawizi
Lima pilipili mwendokasi
Lima viazi mviringo
Soko la pilipili?
 
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
409
Points
1,000
Bella Ciao

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
409 1,000
Halina vhangamoto ukilima unarudi zako mjini kuendelea na shughuli zako nyingine kule unatafuta kijana wa jirani awe anachungulia chungulia.
Lima tangawizi
Lima pilipili mwendokasi
Lima viazi mviringo
Hapo kwenye tangawizi... inalimwa maeneo gani? Gharama zake je? Vipi kuhusu soko?
 
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
741
Points
1,000
Kamwene kamwene

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2019
741 1,000
Soko la pilipili?
Soko la pilipili wala huangaiki hapa hapa bongo unamaliza
Hapo kwenye tangawizi... inalimwa maeneo gani? Gharama zake je? Vipi kuhusu soko?
Soko lake sio zuri sana kilimo ni bahati kuna kipindi kilo moja huwa inakua 4000 na kuna kipidi inashuka mpaka 1000
Wanalima tanga,mbeya,arusha,morogoro yeni sehemu zenye udongo tifutifu.
Gharama za kulima hapo lazima ukodi shamba kama huna
Lazima ununue mbegu
Ghrama za kupanda
Gharama za palizi
Gharama za za dawa
Kilimo sio lelemama funga mkanda ingia shambani ufanye kilimo biashara.
 
Alawido

Alawido

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
535
Points
1,000
Alawido

Alawido

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
535 1,000
Soko la pilipili wala huangaiki hapa hapa bongo unamaliza

Soko lake sio zuri sana kilimo ni bahati kuna kipindi kilo moja huwa inakua 4000 na kuna kipidi inashuka mpaka 1000
Wanalima tanga,mbeya,arusha,morogoro yeni sehemu zenye udongo tifutifu.
Gharama za kulima hapo lazima ukodi shamba kama huna
Lazima ununue mbegu
Ghrama za kupanda
Gharama za palizi
Gharama za za dawa
Kilimo sio lelemama funga mkanda ingia shambani ufanye kilimo biashara.
Nahitaji kua mtu wa kati kilimo kitanilipa?
 
Emery Paper

Emery Paper

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Messages
626
Points
1,000
Emery Paper

Emery Paper

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2019
626 1,000
Wakuu habari,

Ningependa kujiingiza kwenye kilimo, lakini bado sijawa na maamuzi sahihi kuhusu mazao nitakayo lima..
Hapo kabla nilikuwa natamani nilime mpunga lakini moyo unasita. Pia niliwahi kufikiria kuhusu ufugaji wa samaki.

Wakuu naomba mnijuze ni kilimo gani kinaweza kunitoa kimaisha kwa sasa?
Ningepata na mchanganuo ingekuwa vizuri zaidi,

Asanteni.
Raha ya mpunga ni kwamba unaweza ukauweka ndani mpaka soko litakapokaa viziri ndipo uuuze, ila changamoto zake sasa ndo tatizo.
 
NDESSA

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Messages
1,904
Points
2,000
NDESSA

NDESSA

JF-Expert Member
Joined May 2, 2013
1,904 2,000
Kilimo cha mbogo mboga ...umwagiliaji
 
Kingfisher

Kingfisher

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2015
Messages
2,736
Points
2,000
Kingfisher

Kingfisher

JF-Expert Member
Joined May 22, 2015
2,736 2,000
Mchawi masoko mkuu...ukiweza ku-win masoko unatusua
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,410
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,410 2,000
Mahindi na mpunga braza.... Ila tu ufate tartibu za kilimo na uchaguzu wa mikoa ili ujihakikishie kupata mazao ya uhakika na ubanifu wa pesa.

Usiwaze kuhusu bei .... Kilimo hasra yake ni kukosa tu mazao ila yakipatikana tu basi faida ipo kwenye mauzo
 
Forum statistics

Threads 1,334,129
Members 511,877
Posts 32,465,702
Top