Msaada: Napata shida kwenye koo, maumivu makali nikimeza kitu

Bella Ciao

JF-Expert Member
May 28, 2019
1,804
4,444
Wakuu napata shida nikimeza chakula nasikia mamumivu makali kwenye koo upande wa juu wa puani kwa ndani.. Yani nahisi kama kuna kitu kinazuia .... Naombeni msaada wenu wakuu
 
Niko porini ndugu zangu... Naomba nijue kama kuna uwezekano wa kuutibu au kujipa huduma ya kwanza....

Nahisi kuna kinyama nyuma ya ulimi... Haiwezi kuwa strep throat?
 
Niko porini ndugu zangu... Naomba nijue kama kuna uwezekano wa kuutibu au kujipa huduma ya kwanza....

Nahisi kuna kinyama nyuma ya ulimi... Haiwezi kuwa strep throat?
Usitumie vitu vya baridi kwa siku kadhaa kisha jifanyie tathimini
 
Nenda clinic tabibu aangalie na torch tatizo ni nini?
Hizo sehemu unazotaja ni sehemu zenye glands za immune system. Inawezekana ni lenge lenge kutokana na immune system reaction. Litakauka au litapasuka lenyewe.

Ungekuwa karibu na hospitali lukipasuka wanachukua swabs na kupeleka lab kujua kama ni bacteria
 
Dah asante sana niliogopa maana kuna daktari uchwara hapa aliniambia yaweza kuwa cancer yq koo
 
Wiki mbili zilizopita nilipatwa na tatizo kama lako. Good newz huwa inapotea yenyewe mimi ilichukua siku tatu.
 
Back
Top Bottom