Kwa nini tunafadhaika mioyoni mwetu? Tuziamini timu zenu tujiamini na sisi mashabiki. Timu zetu ni bora sana kama isingelikuwa hivyo zisingefuzu robo fainali
Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup.
Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na...
Ipo namna hii, watu wanasoma diploma sio kwamba wamefeli form 4 hapana. Mtu anaamua au anashawishiwa kwenda Diploma ili aajirike kirahisi. Kama inavyojulikana mahitaji mengi kwenye ajira ni diploma kuliko Bachela. Kwa hiyo anasoma Diploma na Bachela, Kazi anaombea Diploma akithibitishwa kazini...
Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada.
Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
Hapo husevu chochote. Mtu aliyesoma Diploma miaka Mitatu akienda Bachela anasoma miaka mitatu. Na aliyesoma 5 na 6 akienda chuo kikuu anasoma miaka 4, kwa hiyo wote watatumia miaka 6.
Pia kwenye soko la ajira siku hizi Bachela hawaajiriki sana.
Kuna taasisi moja inadili na Engineering haiajiri...
Kwa kuongezea hapa, kama umesoma Diploma (chuo cha kati) na Ukasoma Bachela (Chuo kikuu) unanafasi kubwa sana ya kupata ajira kwenye sector mbalimbali hasa sector binafsi. Kwa sababu wanaamini wakikuajili watakuwa wamepata fundi mwenye ujuzi na maarifa kwa wakati mmoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.