Search results

  1. venance7

    Mafundi rangi msaada wetu hapa

    Nahitaji kujua utofauti wa hizi rangi ambazo ni vinyl superlux matt emulsion, na silk ambazo sio matt, hizo za kwanza ni zile za kuchanganya na mashine au ni zipi, na matumizi,
  2. venance7

    Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

    Nahitaji kujua bei za rangi za emulsion lita 20, silk lita 20,oil paints zile za makopo ya lita nne gypsum powder,hizi ni kwa maeneo ya Dar tu kwasasa nipo nje ya Dar, bei zinabadilika najua ila nahitaji kujua kwasasa zimefikia bei gani.
  3. venance7

    Poleni wanasimba wenzangu

    Kwanza pongezi kwa wachezaji kwa kupambana hadi kufikia hapo,lakini hii imekua robo fainali ya tatu tunatolewa katika michuano ya caf ndani ya misimu minne. Ni muhimu sasa kujua nini kinatukwamisha hadi hatuvuki hapa. Kwanza tunahitaji uwekezaji mkubwa ndani ya uwanja wachezaji wengi uwezo wao...
  4. venance7

    Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

    Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, ndugu Bernard Membe. Mahakama hiyo...
  5. venance7

    Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

    Msanii Diamond platnumz akihojiwa katika kipindi cha Good morning ya Wasafi FM amesema amenunua hoteli yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Mikocheni, hoteli hiyo amedai ina vyumba zaidi ya 30 pamoja na conference room, pia amedokeza suala la kununua gari ya ndoto yake Rolls Royce ambayo ni ghali...
  6. venance7

    Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

    Watu wa saikolojia msaidieni huyu dada hayupo sawa kichwani,inasemekana ule urafiki wa wawili hawa msanii Ali kiba na mtangazaji wa clouds Diva haupo tena,diva inasemekana ndio chanzo cha wasanii killy na cheed kutoka ktk kundi la kingsmusic.Ktk page yake ya Instagram mwanadada huyo amepost...
  7. venance7

    Lil Ommy atambulishwa rasmi Wasafi FM

    Hatimaye yaliyosemwa kuhusu wapi anaelekea mtangazaji wa Times FM yametimia. Muda huu Lil Ommy ametambulishwa katika redio changa Wasafi FM Sent using Jamii Forums mobile app
  8. venance7

    Uchaguzi 2020 Mbunge wako amefanya nini kwa miaka hii mitano mpaka sasa?

    Kuelekea mwaka huu wa uchaguzi,leo hebu tuwaangalie viongozi wetu wa majimbo(wabunge),tuliowapa dhamana ya uongozi ndani ya miaka mitano.Huku nilipo ni ktk jimbo la Ukonga jijini Dar_es_salaam,na mbunge wa huku ni ndugu Mwita waitara kwasasa ni naibu waziri wa Tamisemi,huyu mtu mpaka sasa...
  9. venance7

    Nina 85 milioni nahitaji kuanzisha kampuni ya music video production,changamoto ni zipi na bajeti hii kwa kuanzia inatosha?

    Music video production ni moja ya plan zangu nilizopanga kuanzisha ndani ya mwaka huu,hadi sasa bajeti yangu ni hiyo milioni 85,hapo nyuma niliwahi kuwa na studio ndogo ya kushoot matukio kama harusi na graduation mbalimbali,hiyo pesa nimetoa ktk vyanzo vingine vya mapato, naomba kujua A_Z ya...
  10. venance7

    Chelsea ya sasa hivi imekuaje?

    Hii timu haieleweki kiukweli,ilivyofunguliwa ile ban ya kusajili nikajua timu itasajili watu wa maana lakini imekua hovyo,Abramovich huyu sio yule ambaye alikua haoni shida kutoa hela ya maana ya usajili,kiufupi Chelsea bora ya mwisho ni ile aliyoiacha Antonio Conte tu basi,baada ya hapo hakuna...
  11. venance7

    Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

    Muda mfupi baada ya Simba kupoteza fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Mtibwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba ametangaza kujiuzulu katika nafasi hiyo na kubaki kuwa mwekezaji tu. ====== UPDATES: ======== Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa...
  12. venance7

    Mambo kumi niliyoyaona mechi ya leo Simba na Yanga

    1. Goli la penati halikuwa sahihi Meddie Kagere alivutwa nje boksi akadondokea ndani ya boksi,hapa refa aliyumba. 2. Yondani alistahili kadi nyekundu kwa kosa la kumvuta Meddie Kagere nje ya boksi,kadi nyekundu kwasababu Yondani ndiye aliyekuwa mtu wa mwisho. 3. Goli la Mapinduzi Balama ni...
  13. venance7

    Tatizo hili linasababishwa na nini na kipi kifanyike?

    Wakuu kuna tatizo moja lipo hivi, ipo namba ya simu ambayo mara nyingi huwa nawasiliana nayo hasa katika mtandao wa WhatsApp na mpaka aanze yeye, au ananibip muda huo nikitaka kumpigia inasema namba sio sahihi. Lakini nikitaka tuwasiliane kawaida yaani kwa sms au kupiga simu inaniambia namba...
  14. venance7

    Chelsea ya Lampard pasi nyingi magoli machache

    Hii timu inabidi isajili watu wa maana kabisa ikizingatiwa tayari wameruhusiwa kusajili, Lampard hadi sasa alichofaulu ni kuwainua vijana wa uingereza na kuwapa nafasi pia kupiga pasi nyingi zisizo na maana. Kuna time hadi unazima tv unapotazama game za Chelsea, daah! Kuna lundo la wachezaji...
  15. venance7

    Simba kuweni serious Matola hana uwezo wa kutufikisha mbali kimataifa

    Nimeona tetesi za kocha Suleiman matola kuwa ndio anakuja kuwa mrithi wa Aussems,kiuhalisia kwangu sioni kama ni mtu sahihi kabisa, Mimi sio hater wa matola bali ni mshabiki wake namba moja lakini katika suala la kuwa kocha mkuu Simba kwangu siafiki kabisa.Nina shaka na uwezo wake hasa...
  16. venance7

    Simba SC Yamfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems

    Hatimaye aliyekuwa kocha wa klabu ya Simba Mr "uchebe" ameondolewa kuifundisha klabu hiyo.Kupitia page yake ya Instagram uchebe amethibisha hayo. Kocha wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems, kupitia akaunti yake rasmi ya Instagram leo Novemba 30, 2019 amethibitisha kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya...
  17. venance7

    Umeshinda kiasi gani cha pesa katika betting tangu mwaka uanze?

    Wazee wa mikeka pengine ni moja kati ya watu wavumilivu sana maana inaweza tokea umebakiza mechi chache ujione milionea mwisho wa siku inabaki kuwa ndoto, Pamoja na hayo huwezi kuliwa kila siku mfano mimi tangu mwaka uanze nimebeti mara nyingi sana ila ktk hizo mara nyingi huwa siweki hela...
  18. venance7

    Madilu system vs Franco luambo makiadi nani alikua bora zaidi.

    Nimekua mshabiki wa rumba kwa muda mrefu,nilipenda nyimbo za Congo hasa zile za zamani kidogo kuliko za sasa.Hawa magwiji wawili ndio walinivutia kuipenda rumba,nina album nzima ya madilu system na nimekua addicted na nyimbo zake japo sielewi lugha kiukweli [emoji23],Franco naye nimemsikiliza...
  19. venance7

    Liverpool bingwa Ligi Kuu England msimu huu 2019/20

    Pengine timu ili iwe bora ni lazima izishinde timu nyingine bora,japo mara nyingi upepo huwa una kata mwishoni kwa Liverpool wakikaribia kuchukua ubingwa wa ligi.Ushindi wa leo dhidi ya city naiona Liverpool ikichukua taji la epl msimu huu
  20. venance7

    Ali Kiba kutoa tamko rasmi siku moja kabla ya kilele cha Wasafi Festival

    Msanii wa Bongo Fleva, Ali kiba kupitia akaunti yake ya Instagram ametangaza kufanya mkutano na wanahabari siku ya Ijumaa ya tarehe 8/11/2019 ambapo ni siku moja nyuma ya Tamasha la Wasafi Festival. Mkutano huo utafanyika katika hoteli ya Lamada kuanzia saa kumi na mbili jioni, inawezekana kuwa...
Back
Top Bottom