Liverpool bingwa Ligi Kuu England msimu huu 2019/20

venance7

JF-Expert Member
May 15, 2019
554
1,637
Pengine timu ili iwe bora ni lazima izishinde timu nyingine bora,japo mara nyingi upepo huwa una kata mwishoni kwa Liverpool wakikaribia kuchukua ubingwa wa ligi.Ushindi wa leo dhidi ya city naiona Liverpool ikichukua taji la epl msimu huu
 
Nakubaliana na wewe katika point ya kwamba Liver ni bingwa lakini katika ukweli atakua bingwa asie stahiki
 
Hakuna ubishi Leicester City ndiye atakae kuwa Bingwa wa EPL msimu wa 2019/2020

Comment Fupi,Fupi
Kweli kabisa mana chumaa kimepata moto. Wachezaji wana moralii ya kufa mtu kama kipindi kile wakiongozwa na mkongwe na Muingereza pekee ambaye anakimbia huku akifunga na akiwa na uchu wa magori na huyu ndiye Jamie Vardy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom