Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

venance7

JF-Expert Member
May 15, 2019
554
1,637
Msanii Diamond platnumz akihojiwa katika kipindi cha Good morning ya Wasafi FM amesema amenunua hoteli yenye hadhi ya nyota tatu iliyopo Mikocheni, hoteli hiyo amedai ina vyumba zaidi ya 30 pamoja na conference room, pia amedokeza suala la kununua gari ya ndoto yake Rolls Royce ambayo ni ghali zaidi ila bado haijafika nchini na yupo katika hatua za mwisho kuifikisha.

Amezungumzia suala la kukataa kulea watoto wake aliozaa na Zari the bosslady kuwa alimtafuta mzazi mwezie huyo na tayari wamemaliza tofauti zao zilizokuwepo.

Kuhusu hoteli hiyo Diamond ameiomba wizara ya Afya kama ipo tayari waifanye hata karantini kwa ajili ya wagonjwa wa corona kwani kabla ya kuanza kutumika anatarajia kuifanyia marekebisho ya kuiongeza hadhi.

Nimeona kwenye page ya wasafitv na radio jamaa anasema Tanasha alibadili dili mwaka jana kwenye ile concert yake ya miaka kumi kigoma, kilichonishangaza anasema yeye alishindwa kumshawishi binti kubadili dini akampa kazi iyo Ricardo momo na kumuahidi kumpatia kiwanja endapo angefanikisha,

Momo akafanikisha kumshawishi hatimae binti akawa muislamu.....kilichonishangaza ni Momo ana nguvu kubwa kwa Tanasha kuliko Mond kupelekea kusikilizwa yeye kuliko muhusika!!!!?
 
Write your reply...NDO MAANA NAMKUBALI MFALME YEYE ANA BUGATI MBILI NA MAHOTELI HAZI YA NYOTA TANO MOJA LIPO KENYA MOJA LIPO TZ NA WALA HUMSKII HAKIYAZUNGUMZIA SABABU HAPENDI KUNYIONYESHA

NA ZA CHINICHINI NI KWAMBA KINYWAJI CHA MOFAYA NI CHAKE PAMOJA NA KIWANDA CHAKE SEMA AMEWAKATAZA WALIWEKE WAZI HILO UONGOZI MZIMA HVYO AKAAMUA AJIFANYE BALOZI SABABU HAPENDI SHOW OFF NA AMEKATAZA MEDIA WALIZUNGUMZIE HILO
 
Kufadekii...huu uongo umekaa kama ukwel yan ..ahahahaha.
Watu mnajua kuwavuruga watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom