Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.

venance7

Senior Member
Joined
May 15, 2019
Messages
150
Points
1,000

venance7

Senior Member
Joined May 15, 2019
150 1,000
Muda mfupi baada ya Simba kupoteza fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Mtibwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba ametangaza kujiuzulu katika nafasi hiyo na kubaki kuwa mwekezaji tu.

moodewji___B7RWrmMlWRN___.jpeg


======

UPDATES:

========

Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kilichotokea Jana kwenye account yake ni bahati mbaya, na wanajipanga kwaajili ya ligi na atabaki Kuwa Simba, pia kawapongeza timu ya Mtibwa kwa kuchukua kombe.

"Kilichotokea kwenye ukurasa wangu jana ni bahati mbaya. Tuko pamoja, tunarejea kwenye kwa nguvu kwenye ligi, tunajipanga kwa ajili ya ligi. Nawapongeza Mtibwa kwa kuchukuwa kombe. Mimi ni SIMBA damu damu. Nitabaki kuwa SIMBA
1578990702886.png
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,379,757
Members 525,556
Posts 33,755,917
Top