Search results

  1. jaap

    Naomba ushauri wa kisheria kuhusu suala la mgawanyo wa mirathi

    Mzee wetu kasha fariki kaacha wake wawili na watoto 8 kila mke ana watoto wanne. Mzee kaacha nyumba moja na kiwanja kimoja na shamba. Nyumba moja anaishi mke mdogo na kiwanja kimoja, mke mkubwa watoto wake wamejenga nyumba, wanaishi na mama yao, na kwenye shamba wao wanafanya shughuli zao za...
  2. jaap

    Nchi ya Romania ni nzuri kwa kwenda kutafuta maisha?

    Wajuzi wanazo zijua nchi za Ulaya je, nchi ya Romania ni nzuri kwa kwenda kutafuta maisha au bora kubaki Tanzania kukomaa hapa hapa kwenye Tozo?
  3. jaap

    Kwanini Zanzibar hakuna mgao wa umeme

    Nipo Zanzibar miezi miwili sasa" sijaona mgao wa umeme yani umeme ukikatika hazipiti dakika kumi unarudi yani wakazi wa Zanzibar wana raha sana, hawajui kama ndugu zao wa Tanganyika wanateseka na mgao wa maji na umeme, yani sirudi tena Tanganyika. Mwinyi ana upiga mwingi.
  4. jaap

    Kwanini wasomi wa siku hizi hawajui mambo ya kawaida

    Nimeshikwa na mshangao muhitimu wa chuo hajui Misri, Tunisia, Angola hizi nchi zipo bara gani na hajui Uingereza hipo bara gani na yeye anacho jua Wazungu wote wanajua kuongea kiingeraza na lugha yao ni kiingereza, yani hajui nchi kama Ujerumani, Portugal, France hizi nchi zinatumia lugha zao...
  5. jaap

    Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

    Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao. Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au...
  6. jaap

    Wanawake wangu watatu nimewatumia sms nimewaambia nataka niwaoe kwa kuwapima nione majibu yao

    Nina mademu zangu watatu sasa nikajaribu kuwaambia nataka kuwaoa nikatuma sms kwa kila mmoja sasa demu mmoja yeye kanijibu kwa jazba, nimeshangaa kuniambia namuingilia kwenye maisha yake'' kwa kumwambia nataka kumuoa majibu yake haya hapa chini[emoji116] Sijafikia hatua ya kuwaza kuish na...
  7. jaap

    Napenda kuwapa pongezi wadau wote

    Tokea nijiunge kwenye jukwaa hili nimejifunza mambo mengi sana, Jambo moja la msingi nililo jifunze na nimelizingatia na kuona matokea yake ni kuto kuwapa pesa wanawake hovyo iwe kwa njia ya kuwakopesha au kuonga hovyo. Sasa hivi pesa yangu inaonekana na inshallah mwenyezi Mungu akinijalia...
  8. jaap

    Serikali haijawalipa Pension wazee wastaafu

    Serikali ya Rais Samia mpaka tarehe mbili haijawaingizia pesa zao wazee wetu, Waziri wa Fedha kama kazi imemshinda bora aondoke! Wazee wanateseka wanatutuma wajukuu zao kila lisaa kwenda kwenye ATM machine kuangalia pesa kama zimewekwa, kila tukienda kuangalia salio pesa hazijawekwa huyu Waziri...
  9. jaap

    Mama wa mtoto wangu hataki nimnunulie nguo mwanangu

    Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo...
  10. jaap

    Naomba kujuzwa gharama ya kusafisha damu

    Ndugu yangu kaambiwa damu yake chafu ina bacteria wengi inatakiwa kusafishwa shida hatujui galama ni kiasi gani kwa hospital za serikal na binafsi, tunaomba msaada kwa mtu anaye jua gharama zake. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. jaap

    Naomba kujuzwa gharama ya kipimo cha CT Scan

    Nina mdogo wangu kaandikiwa aka pime kipimo cha ct scan, lakin hatuja jua zinatakiwa shilingi ngapi tafadhar anaye jua galama ani juze wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  12. jaap

    Mpenzi wangu anataka nimuhudumie kama mke wangu

    Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote. Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavazi na kodi na matibabu. Kwangu mimi hainingii akilini wakati hatuishi...
  13. jaap

    Single mother ameniteka

    Habar ndugu za nguni naombeni ushauri, nipo na single mother kwenye mahusiano Mwaka mmoja, nashangaa ghafla nimeanza kumpenda Sana na siwez kuacha kumpigia sim na kutumia sms, kipindi cha nyuma nilikuwa simpendi alikuwa ana ladhimisha tuonane Mimi nilikuwa na mpiga chenga Sana, siku Moja nika...
  14. jaap

    Mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya tumbo kila tukimaliza kufanya mapenzi

    Naomben msaada mke wangu ana sumbuliwa na tumbo Kila baada ya kumaliza sexy kesho yake tumbo linaanza kumuuma sana je tatizo litakuwa nini?
  15. jaap

    Aliyekuwa Mpenzi wangu analalia kitanda changu bila kuniomba akitadai aliuza chake

    Nilinunua kitanda kipya cha Tsh 450,000 nika muomba mpenzi wangu anihifadhie kwake maana kwangu kulikuwa hakuna nafasi akanikubalia Sasa cha ajabu Mimi nilipewa likizo ndefu kazin zaid ya miez miwil ikabid niende nyumban kwetu, Sasa baada ya kumaliza likizo mkoani kwetu nikarejea kazin kama...
  16. jaap

    Nahitaji shamba ekari mbili

    Nahitaji shamba liwe maeneo ya Mkuranga au Kisarawe nahitaji kuanzia hata ekari moja sio mbaya pa kuanzia. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. jaap

    Msaada: Mpenzi wangu nahisi ni tapeli

    Nina mpenzi wangu ni bint mzuri tu,tatizo lake nimemchunguza nimegundua siyo mkweli muongo na mdokozi wavitu, kuna siku nilikuwanae ghetto niliamka asibuhi nikaenda kazini nikamuacha badae na yeye akaondoka, nilivyorudi gheto nikakuta pafyum yangu siiyoni, na siku nyingine niliamuacha gheto...
  18. jaap

    Mbowe tusaidie ukarabati wa ofisi

    Tokea uchaguzi mkuu umalizike ofisi yetu ya kata imefungwa haijafunguliwa wanachama tumeshindwa kupata huduma.
  19. jaap

    Naitaji mpenz badae tuje tufunge ndoa

    Naitaji mpenz awe mkristo kuanzia umri 24 to 28, elim yoyote, Mimi Nina umri wa miaka29 mkristo makaz dar na Zanzibar.
  20. jaap

    Kwanini mademu wa kondoa wanapenda Ushirikina?

    Hapa ninapoishi nyumba yakupanga,tupo wapangaji watano mmoja dem ajaolewa mwenyeji wa kondoa mrangi amenishangaza, kunamambo anayafanya kila asubuhi ya alfajir anaenda njia panda karibia na dirisha la chumba changu ana mwaga maji yakiwa kwenye chupa na siku nyingine nilimshuudia, akimwaga maji...
Back
Top Bottom