Kwanini mademu wa kondoa wanapenda Ushirikina?

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,116
Hapa ninapoishi nyumba yakupanga,tupo wapangaji watano mmoja dem ajaolewa mwenyeji wa kondoa mrangi amenishangaza, kunamambo anayafanya kila asubuhi ya alfajir anaenda njia panda karibia na dirisha la chumba changu ana mwaga maji yakiwa kwenye chupa na siku nyingine nilimshuudia, akimwaga maji SAA saba mchana maji yakiwa kwenye chupa ana yamimina mkononi alafu ana yamwaga kwa kuyalusha, lusha sija jua kwanini anafanya ivyo.
 
Sikweli hii tabia nimewauliza wapangaji wenzangu wameniambia ndiyo tabia yake wamesha mzoea na Mimi nitaizoea tu.
Huyo anataka umuoe. Subiri dawa ifanye kazi maana hayo maswali hutouliza tena. Chukua mke kabla dawa hajafanya kazi
 
Sikweli hii tabia nimewauliza wapangaji wenzangu wameniambia ndiyo tabia yake wamesha mzoea na Mimi nitaizoea tu.
Ushajiuliza kwanini anafanyia karibu na dirisha lako? Bado hajaolewa? Hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kipindi anatafuta mume na hapati. Wanaume wote 4 hayupo hata mmoja anayekula huyo mwanamke?
Nahisi utakuwa mkoa wa Dar.
 
Ni kweli kabisa,nilikuwa na binti mmoja kutoka kondoa,nilikaa naye kwenye mahusiano mwaka mmoja na nusu,kumbe anafanya maushirikina yake huko ya kufa mtu,then mimi aijui lolote!

Mungu mkubwa alisafiri kwenda Mwanza kwa ndugu zake,aliniachia ufunguo wa nyumba yake,na ilikuwa haipiti siku bila kwenda kwake,(japo yeye hayupo,ila moyo ulikuwa hauwezi kustahimili bila kutia mguu pale kwake)

Siku moja nimeenda kwake,moyo wangu ukawa mzito sana,na sikujua tatizo nini,nikapiga goti pale ndani,nikasali sana kimoyo moyo,nilipomaliza nikajitupa kitandani nikiwa nimefumba macho,nilipofungua macho nikatazama sehemu anaweka mikoba yake,(palikuwa na mikoba kama 20 hivi imetundikwa kwenye vistand vyao vile)

Nikiwa nimetazama ile stand,niinuka nikachukua mkoba mmoja tu,nilipofungu mle ndani nilichoka sana,sana sanaa!

Nilikuta kuna madawa kibao,na vihirizi vidogo vidogo 3,magome ya miti,na kikaratasi kimeandikwa kama kiarabu kwa wino mwekundu!

Nilichoka sana,sikuwahi kujua kama binti mrembo kiasi kile angeweza kuwa na mambo ya kishirikina!

Kibaya zaidi,nikiwa chumbani kwake namalizia upekuzi wangu,aimu yake ikaita,akanambia najua unachofanya,nakuomba sana usinielewe vibaya!(hii iliniogopesha sana,lakini nikavaa ujasiri wa ajabu,mifawa dawa,kucha, na nywele vilivyokuwa vimefungwa fungwa pamoja na zile hirizi NIKAZICHOMA MOTO)

Kesho yake alipanda gari kurudi,nilimwambia tangu sasa kaa mbali na mimi,japo kwa bahati mbaya sana kumbe alikuwa ame-conceive,nilimuacha kwa hakika japo kwa maumivu na huruma nyingi kutokana na ujauzito!

Kwa sasa nasubiri mtoto wangu akue kue kidogo nimchukue maisha yaendelee,Kondoa sijui kwanini wanapenda sana mambo ya ushirikina!
 
Mkuu imani yako ndo imekuponya mungu akulinde kwa Kila jambo
 
[emoji1544][emoji1544]
 
Hapa ninapoishi nyumba yakupanga,tupo wapangaji watano mmoja dem ajaolewa mwenyeji wa kondoa mrangi amenishangaza, kunamambo anayafanya kila asubuhi ya alfajir anaenda njia panda karibia na dirisha la chumba changu ana mwaga maji yakiwa kwenye chupa na siku nyingine nilimshuudia, akimwaga maji SAA saba mchana maji yakiwa kwenye chupa ana yamimina mkononi alafu ana yamwaga kwa kuyalusha, lusha sija jua kwanini anafanya ivyo.
Huwa anamwagia maji kuondoa vumbi akitaka kufagia.
 
Ni kweli kabisa,nilikuwa na binti mmoja kutoka kondoa,nilikaa naye kwenye mahusiano mwaka mmoja na nusu,kumbe anafanya maushirikina yake huko ya kufa mtu,then mimi aijui lolote!

Mungu mkubwa alisafiri kwenda Mwanza kwa ndugu zake,aliniachia ufunguo wa nyumba yake,na ilikuwa haipiti siku bila kwenda kwake,(japo yeye hayupo,ila moyo ulikuwa hauwezi kustahimili bila kutia mguu pale kwake)

Siku moja nimeenda kwake,moyo wangu ukawa mzito sana,na sikujua tatizo nini,nikapiga goti pale ndani,nikasali sana kimoyo moyo,nilipomaliza nikajitupa kitandani nikiwa nimefumba macho,nilipofungua macho nikatazama sehemu anaweka mikoba yake,(palikuwa na mikoba kama 20 hivi imetundikwa kwenye vistand vyao vile)

Nikiwa nimetazama ile stand,niinuka nikachukua mkoba mmoja tu,nilipofungu mle ndani nilichoka sana,sana sanaa!

Nilikuta kuna madawa kibao,na vihirizi vidogo vidogo 3,magome ya miti,na kikaratasi kimeandikwa kama kiarabu kwa wino mwekundu!

Nilichoka sana,sikuwahi kujua kama binti mrembo kiasi kile angeweza kuwa na mambo ya kishirikina!

Kibaya zaidi,nikiwa chumbani kwake namalizia upekuzi wangu,aimu yake ikaita,akanambia najua unachofanya,nakuomba sana usinielewe vibaya!(hii iliniogopesha sana,lakini nikavaa ujasiri wa ajabu,mifawa dawa,kucha, na nywele vilivyokuwa vimefungwa fungwa pamoja na zile hirizi NIKAZICHOMA MOTO)

Kesho yake alipanda gari kurudi,nilimwambia tangu sasa kaa mbali na mimi,japo kwa bahati mbaya sana kumbe alikuwa ame-conceive,nilimuacha kwa hakika japo kwa maumivu na huruma nyingi kutokana na ujauzito!

Kwa sasa nasubiri mtoto wangu akue kue kidogo nimchukue maisha yaendelee,Kondoa sijui kwanini wanapenda sana mambo ya ushirikina!
kwanini ulichoma tunguli zake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom