Mbowe tusaidie ukarabati wa ofisi

Mbowe tusaidie ukarabati wa ofisi

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,116
Tokea uchaguzi mkuu umalizike ofisi yetu ya kata imefungwa haijafunguliwa wanachama tumeshindwa kupata huduma.

FB_IMG_15718963451229604.jpeg
 
Mbowe Mbona unajikausha hujasikia alichosema mleta mada au? Ofisi Kama hizi za Mleta mada ziko kibao nchi nzima zimefungwa
 
Makene msemaji wa CHADEMA toa tamko kuhusu hiyo ofisi.Uchaguzi wa hiyo kata mumefanya?
 
Chama Kiko kwenye mioyo ya watu
Msigwa kiongozi wa Kanda ya kusini umeiona hiyo ofisi ya kidegembye hapo Njombe? Uchaguzi wa chadema umeshapita umewatapeli chadema kwa kuwapelekea makao makuu majina feki ya viongozi kuwa walifanya uchaguzi wakati hata ofisi ya tawi imefungwa
 
Mbowe Mbona unajikausha hujasikia alichosema mleta mada au? Ofisi Kama hizi za Mleta mada ziko kibao nchi nzima zimefungwa
Ofisi siyo upinzani, Tambua kuwa upinzani upo rohoni mioyoni mwa watu, kwanza ilitakiwa kuanzia 1991 baada ya kutangazwa mfumo wa vyama vingi ofisi zote za CCM zigawanywe kwa vyama vyote kwa usawa lakini cha ajabu CCM wakapora nyumba za umma kwa njia haramu mpaka leo wamejimilikisha kinyume cha Sheria,
 
Hata mngegawiwa matunzo hamuwezi haya ofisi hiyo mumepewa mijani Hadi mlangoni na ni kaofisi kadogo tu hako mngepewa ghorofa do ingekuwa balaa
 
Hata mngegawiwa matunzo hamuwezi haya ofisi hiyo mumepewa mijani Hadi mlangoni na ni kaofisi kadogo tu hako mngepewa ghorofa do ingekuwa balaa
Wapinzani wanaweza kutunza kuliko CCM wapinzani wanaweza vingi ndiyo maana CCM kutwa wanawanyong’onyesha
 
Hali ya hiyo ofisi Ni Ushahidi tosha kuwa ruzuku haifiki mikoani inaishia kuliwa makao makuu chadema
 
Makene msemaji wa chadema toa tamko kuhusu hiyo ofisi.Uchaguzi wa hiyo kata mumefanya?
CCM mrejeshe majengo yote yagawanywe kwa wapinzani acheni kupora nyumba za umma
 
Hali ya hiyo ofisi Ni Ushahidi tosha kuwa ruzuku haifiki mikoani inaishia kuliwa makao makuu chadema
Ruzuku ya upinzani ina kazi nyingi sana na mojawapo ni kutumika kujihami dhidi ya hujuma za CCM za kila kikicha na wananchi wanajua hilo ndiyo maana huchagua upinzani kwenye chaguzi mbalimbali
 
Haahaa watakwambia chama sio ofisi.kuna ofisi za ccm ukiziona unaweza zimia,kwa mshangao halafu chama tawala.wanasiasa baba yao ni mmoja
 
CCM majengo na viwanja mlivyonavyo vilipatikana kwa kodi zetu sote watanzania. Leo hii mnaringa na kejeli kibao kwa wapinzani as if wao walipewa hela wakashindwa kujenga. Chadema knaimarisha chama katika mioyo ya watanzania kwanza hayo mengine baadae. And i promiss you, Upinzani wakichukua nchi hayo majengo na mali zingine mlizopata na kujimilikisha zitarudishwa kwa wamiliki halali (watanzania wote)
 
CCM majengo na viwanja mlivyonavyo vilipatikana kwa kodi zetu sote watanzania. Leo hii mnaringa na kejeli kibao kwa wapinzani as if wao walipewa hela wakashindwa kujenga. na kujimilikisha zitarudishwa kwa wamiliki halali (watanzania wote)
Usiende nje ya mada hapa tunaongelea hiyo ofisi mliyonayo tayari mnashindwa hata kusafisha na jembe tu Hayo majani?
 
Tokea uchaguzi mkuu umalizike ofisi yetu ya kata imefungwa haijafunguliwa wanachama tumeshindwa kupata huduma.
View attachment 1242734
Chadema aina ofisi lakin kwenye uchaguzi inawatwanga mpka mnawazurumu kula tena kwa nguvu ya polisi, siku ikijenga hayo ma ofisi ya magorofa s mtajinyonga na pressure nyie chama chakavu
 
Back
Top Bottom