jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,116
Nahitaji shamba liwe maeneo ya Mkuranga au Kisarawe nahitaji kuanzia hata ekari moja sio mbaya pa kuanzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah hatar kweli kwelMimi ninahitaji shamba mitaa ya Survey au Mlalakua
Bei ni tsh ngapi mkuu...njoo moro kilosa ulime mahindi ufuta mtama mihogo kunde au hata miti njoo zipo hekari 3 zinauzwa kwa pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
zipo heka 3 kwa pamoja bei 400000 kila heka ni zakwangu hazipo porini pia hakuna wanyama wala mifugo ya kula mazao nicheki 0688501810