Napenda kuwapa pongezi wadau wote

Napenda kuwapa pongezi wadau wote

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,118
Tokea nijiunge kwenye jukwaa hili nimejifunza mambo mengi sana, Jambo moja la msingi nililo jifunze na nimelizingatia na kuona matokea yake ni kuto kuwapa pesa wanawake hovyo iwe kwa njia ya kuwakopesha au kuonga hovyo.

Sasa hivi pesa yangu inaonekana na inshallah mwenyezi Mungu akinijalia maendeleo nitazidi kuyaona" Kuna mpenzi sasa hivi ana ni lalamikia nimebadilika sana na akasema nitakuwa nimetekwa na mwanamke mwingine.

Mimi sija tekwa ila nimeshtuka na mizinga yake yeye na dada yake!! Sasa hivi chamsingi ninacho angalia ni kuwapatia pesa ndugu na waza yani kiwapa pesa tu wazazi nyumbani tu na mimi nashangaa kazini napata pesa tu nje ya mshahara. hapa nime wazungumzia wale wanaawake wadangaji wapenda pesa wao wakipiga simu tu wanaomba pesa hawawezi kupiga simu mkaongea bila kuombwa pesa.
 
Tokea nijiunge kwenye jukwaa hili nimejifunza mambo mengi sana.

Jambo moja la msingi nililo jifunze na nimelizingatia na kuona matokea yake ni kuto kuwapa pesa wanawake hovyo iwe kwa njia ya kuwakopesha au kuonga hovyo, Sasa hivi pesa yangu inaonekana na inshallah mwenyezi Mungu akinijalia maendeleo nitazidi kuyaona"

Kuna mpenzi sasa hivi ana ni lalamikia nimebadilika sana na akasema nitakuwa nimetekwa na mwanamke mwingine, Mimi sija tekwa ila nimeshtuka na mizinga yake yeye na dada yake!

Sasa hivi chamsingi ninacho angalia ni kuwapatia pesa ndugu na wazazi yani kuwapa pesa tu wazazi nyumbani tu na mimi nashangaa kazini napata pesa tu nje ya mshahara.

Hapa nime wazungumzia wale wanaawake wadangaji wapenda pesa wao wakipiga simu tu wanaomba pesa hawawezi kupiga simu mkaongea bila kuombwa pesa.

Simple mechanisms
 
Tokea nijiunge kwenye jukwaa hili nimejifunza mambo mengi sana, Jambo moja la msingi nililo jifunze na nimelizingatia na kuona matokea yake ni kuto kuwapa pesa wanawake hovyo iwe kwa njia ya kuwakopesha au kuonga hovyo.
Jipende, utapendwa. Utapewa mbususu ivi ivi ukijiona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom