Naomba kujuzwa gharama ya kipimo cha CT Scan

jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
1,438
2,000
Nina mdogo wangu kaandikiwa aka pime kipimo cha ct scan, lakin hatuja jua zinatakiwa shilingi ngapi tafadhar anaye jua galama ani juze wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mjamaa1

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
5,762
2,000
Nenda government hospitals, kama Benjamini Mkapa au Muhimbili, atleast bei ni nafuu
 

Sarcoma

Senior Member
May 22, 2021
151
250
Hapa MOI ni laki na nusu tu unafanyiwa CT-SCAN.

MOI- Muhimbili orthopaedic institute
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom