Mama wa mtoto wangu hataki nimnunulie nguo mwanangu

jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
4,208
5,458
Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo ishi nauli ni 800 na shangaa ana kataa ana taka nimtumie pesa akanunue yeye.

Kwan Mimi kumnunulia nguo mwanangu nikosa na Nili mtumia pesa aka mpigie picha mtoto ili nimkatie mtoto bima ya afya lakin yeye hataki ana sema bima ya afya haisaidii ukienda hospital hakuna dawa Wana kwambia ukanunue eti ni Bora niwe na mtumia hela ya kwenda hospital kuliko kumkatia bima mtoto Mim na mshanga huyu mwanamke.
 
Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo ishi nauli ni 800 na shangaa ana kataa ana taka nimtumie pesa akanunue yeye, Kwan Mimi kumnunulia nguo mwanangu nikosa na Nili mtumia pesa aka mpigie picha mtoto ili nimkatie mtoto bima ya afya lakin yeye hataki ana sema bima ya afya haisaidii ukienda hospital hakuna dawa Wana kwambia ukanunue eti ni Bora niwe na mtumia hela ya kwenda hospital kuliko kumkatia bima mtoto Mim na mshanga huyu mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuonea huruma hujui kuandika
 
Hela hela hela mkuu tatizo hela mpe hela za matumiz yake binafsi,Matatizo yako yataisha.
 
Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo ishi nauli ni 800 na shangaa ana kataa ana taka nimtumie pesa akanunue yeye, Kwan Mimi kumnunulia nguo mwanangu nikosa na Nili mtumia pesa aka mpigie picha mtoto ili nimkatie mtoto bima ya afya lakin yeye hataki ana sema bima ya afya haisaidii ukienda hospital hakuna dawa Wana kwambia ukanunue eti ni Bora niwe na mtumia hela ya kwenda hospital kuliko kumkatia bima mtoto Mim na mshanga huyu mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapigwa
Kuna mdau humu alisema

USIMUONEE HURUMA MWANAMKE
alikuwa sawa
 
Huwa una mtindo wa kununua vitu vigumu vigumu halafu vyankiazamani ambavyo havichakai haraka.so wewe mtumie mama anunue katalogue za dogo acha story zako.yaani nguo za dogo zinanuliwa na bibi yake,ananunua nguo nyingi kwa hela kidogo na ni nguo imara sana ambazo zimepitwa na wakati vile vile

Nikweli yeye kashaolewa na mwanaume mwingine Mimi na nunua vitu kwaajir ya mtoto wangu lakini yeye hata ana taka niwe natuma pesa ili anunue yeye na Mimi sitaki nataka nimnunulie nguo mwangu nzur nzur maana yeye hajui kuchagua nguo nzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo ishi nauli ni 800 na shangaa ana kataa ana taka nimtumie pesa akanunue yeye, Kwan Mimi kumnunulia nguo mwanangu nikosa na Nili mtumia pesa aka mpigie picha mtoto ili nimkatie mtoto bima ya afya lakin yeye hataki ana sema bima ya afya haisaidii ukienda hospital hakuna dawa Wana kwambia ukanunue eti ni Bora niwe na mtumia hela ya kwenda hospital kuliko kumkatia bima mtoto Mim na mshanga huyu mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani brother ukimpa hela shida ipo wapi, yeye ndiyo anajua mwanao anapenda vitu gani
 
Huwa una mtindo wa kununua vitu vigumu vigumu halafu vyankiazamani ambavyo havichakai haraka.so wewe mtumie mama anunue katalogue za dogo acha story zako.yaani nguo za dogo zinanuliwa na bibi yake,ananunua nguo nyingi kwa hela kidogo na ni nguo imara sana ambazo zimepitwa na wakati vile vile
Hapana Mimi namnunulia mfano nguo za shule nyingi na mabegi mawili mimi napenda mtoto wangu hapendeze kama watoto waki zungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu weee mnyooshee maelezo.

Mwambia bana, wee saizi ni mke wamtu, umeshakua na familia yako, HAMNA NAMNA TENA YA KULA HELA YANGU KIZEMBE .

Nacho kifanya kwa sasa ni kwaajili ya Mwanangu, kwa hivo suala la kutuma PESA ,HILO FUTA ,SITOTUMA, NA HUWEZI KUNITUMIA KWA MGONGO WA MWANANGU.
Ninachokihitaji, niwewe kuniambia Mahitaji ya mtoto ,ninunue, vimfikie mtoto .

Mchane Mkuu!!! ....hawa viumbe wanakawaida ya kugeuza MTU Kibiashara!!
USIJE KUJIDANGANYA KUTUMA HELA, ET KISA KAKUAMBIA MTOTO WAKO ANAUMWA ?... AMINI NAKUAMBIA, MTOTO HATOISHA KUUMWA.

Wewe akiumwa, kamchukue mpeleke Hosp , MKATIE BIMA YA AFYA.
bila ivo, Huyo mwanamke, Bibi wa mwanao, watakugeuza kama Chanzo cha Makusanyo ya Kodi.

Asipokuelewa..MUWEKEE VIKWAZO VYA KIUCHUMI.
 
Alafu weee mnyooshee maelezo.

Mwambia bana, wee saizi ni mke wamtu, umeshakua na familia yako, HAMNA NAMNA TENA YA KULA HELA YANGU KIZEMBE .

Nacho kifanya kwa sasa ni kwaajili ya Mwanangu, kwa hivo suala la kutuma PESA ,HILO FUTA ,SITOTUMA, NA HUWEZI KUNITUMIA KWA MGONGO WA MWANANGU.
Ninachokihitaji, niwewe kuniambia Mahitaji ya mtoto ,ninunue, vimfikie mtoto .
Akiniambia maitaji ya mtoto nikienda kununua tu nikimwambia nimesha nunua ana kataa kuvipokea kuna vitu nilnunua tokea mwaka juzi mpaka Leo vipo nyumba hataki kupelekewa wala kutuma mtu havifate, yeye ana taka akiniambia begi la shule limeisha na uniform na nguo za kuchezea ni mtumie helaTu nisiende kuvinunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua vitu mpe mwanao achana na mtu anayeliwa mbususu uko na mwanaume mwingine
 
Huwa una mtindo wa kununua vitu vigumu vigumu halafu vyankiazamani ambavyo havichakai haraka.so wewe mtumie mama anunue katalogue za dogo acha story zako.yaani nguo za dogo zinanuliwa na bibi yake,ananunua nguo nyingi kwa hela kidogo na ni nguo imara sana ambazo zimepitwa na wakati vile vile
Nguo na nunua Mimi yeye ana tuma ana mpeleka mtoto kwenda kuzichukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtoto mkubwa, chukua mwanao peleka kwa bibi au babu yake. Ukipenda kaa naye kama mazingira yanahusu, huyo anatafuta pa kukupiga kupana kwenye hela
 
Back
Top Bottom