Mpenzi wangu anataka nimuhudumie kama mke wangu

jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
4,208
5,454
Nina mpenzi wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote.

Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi anataka ni bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavazi na kodi na matibabu.

Kwangu mimi hainingii akilini wakati hatuishi pamoja kila mtu anaishi kwake lakin tunaishi wilaya moja na kingine mimi sifahamiki kwao na yeye hafahamiki kwetu.

Na mwanaume aliye mzalisha tunaishi nae wilaya moja, chakushangaza hiyu mpenzi wangu hajulikana kwenye familia ya mwanaume aliye mzalisha.
 
Nina mpenz wangu ana mtoto mmoja ambaye alizaa na mwanaume mwingine na huyo baba mtoto kwa sasa hatoi huduma yoyote, Tatizo nililo nalo na huyu mpenzi ana ataka ni Bebe majukum yote ya kulipa Ada ya mtoto wake, chakula, mavaz na Kodi na matibabu. Kwangu Mimi ainiingii akilini wakati hatuishi pamoja kila mtu anaishi kwake. lakin tunaishi wilaya moja,, na
Kama unaona huwezi kumuhudumia mwanamke mwenye Mtoto basi tafuta mwanamke asiyekuwa na Mtoto
 
hakuna ubaya kama uwezo wa kuhudumia upo.
mbona watu wengine huwa mnaona hapo kuna ugumu sana??!!!

km uwezo upo fanya hivyo hakuna ubaya wowote
Mimi nilimwambia siwez kulipa Ada %100, Baba mtoto yupo hai na kanizid kiuchumi na nikijana kama mimi tu, na alikuwa anatoa huduma vizur sema baada ya kujifungua tu jamaa haka kata Mawasiliano na huduma hatoa ya mtoto.
 
Back
Top Bottom