Search results

  1. sindesunde

    Msaada wa kupata kazi ya ufundi wa simu

    Wakuu nisiwachoshe mie ni fundi wa simu ninahutaji mtu anisadie hata pakufanyia kazi au tufanye kazi nalazimika kuomba huu msaada nimekutana na mtihani wa kusimbewa kilakitu nilivyokua nimesafiri. Nimerudi nyumbani patupu yaani bora ningeachiwa vitendea kazi lakini vyote vimekombwa. Sasa...
  2. sindesunde

    Msaada wa kisheria

    Hivi hawa wanaowapatia risiti wateja wao wanaonunua bidhaa mfano hii ni simu chombo cha mawasiliano unapompa mteja risiti kama hii inakuaje kisheria kama ni sawa mnijuze maana sioni ata namba ya simu ya muuzaji natanguliza uzalendo kwanzwa kodi ni maendeleo yetu sote
  3. sindesunde

    Kwanza mnipe au mtupo pole wote tulicheza Jackport jana

    Nisipoteze muda twendeni GSB wameanzisha jackpot Mpya mechi ukula laki 5 Hakuna maelezo mengine kama zilivyo jackpots zinging jana nikacheza mikeka 2 yote imetiki naangalia balance ktk account Nikita tsh 560/= Kama bonasi nikawapigia simu wakawa awapokie. Nikaona isiwe tabu asubuhi niaenda...
  4. sindesunde

    Nini kimewapata Mtibwa Sugar

    Bila kupoteza muda mtibwa anayo kazi kwa mtindo huu anaweza akashuka daraja
  5. sindesunde

    Njoo twende sawa na Jean-Claude Van Damme

    Tujikumbushe muvu za zamani kidogo mie naanza na hii kitu
  6. sindesunde

    Huyu mzee hua anafurahisha

    Huyu mzee hivi chama chake kina ata diwani kweli!
  7. sindesunde

    Ninasumbuliwa na muwasho katika shingo na mrija wa uume naomba msaada na tiba

    Wakuu natumai humu akishindikani kitu ninatatizo naombeni ushauri na kujua tatizo na tiba. Ninasumbuliwa na muwasho katika shingo ya uume yani napenda kujikuna sana naisi raha tu ila ninapukua faragha hiyo hali inaongezeka muwasho na maumivu kwa mbali pale ninapo shusha mzigo muwasho nasikia...
  8. sindesunde

    Wahaya naombeni maana ya haya maneno

    Kama kichwa cha habari naombeni maana ya haya maneno kwa kiswahili (mwaimuksyo okwo nogendelelaota waikizem) [emoji120]
  9. sindesunde

    1980 to 1990+ njooni hapa tukutane

    Habari zenu Wahenga wenzangu, nataka tujikumbushe kipindi cha nyuma kidogo kwa yale machache tunayo kumbuka ila mtanisamehe kwa uwandishi wangu usio mzuri! Napenda tukumbushane ktk mambo mbalimbali ikiwa usafiri maeneno vituko vya zama hizo. Naanzaia mkoa wa nikikumbuka miaka 1980+ upende wa...
  10. sindesunde

    Kawe iko wapi jamani Dar or Mkoani

    Inasikitisha maisha ya Kawe yakawa ya uswazi sana eti Kawe inakua na mnada kila Jumamosi kama huku mkoani hebu niambieni Kawe si ndio karibu na Mbezi beach! mnatia auibu watu wa huo mkoa bora muhamie huku kwetu siku ya mnada tunapiga nyama choma nk. Dar kweli watu wa Kawe njooni hapa...
  11. sindesunde

    Sijajua huko wapo kama hawa!

    Kuna kuna jambo huwa linaniumiza sana na baadhi ya wanaume wenzangu sijajua ndio mnaitaga tabia za kike! Unakuta mwanaume naamanaisha yule anajitegemea na kutegemewa unakuta kakaa sehemu na mamanzi anaongelea maisha ya kila anamjua bila sababu za msingi atotoshi unakuta anazungumzia mpaka...
  12. sindesunde

    Hapo vipi

    Jamani eeh... Naomba mnisaidie kuwakumbusha wale wanawake wanaovaa cheni miguuni..kuwa BIASHARA YA UTUMWA (SLAVE TRADE)..ilishaishaga..kwa hiyo wasiendelee kutukumbusha kumbusha.. #Yaani unatumia chumvi nyingi alafu unapata kisukari
  13. sindesunde

    Ndugu zangu naisi dunia imenizonga ila kama mungu ndio huyu mitihani yake imefika mwisho kwangu!

    Kama kichwa habari dunia imenizonga kwakua inawezakana nilipata furaha ya wazazi kwakua naambiwa baba yangu alifariki nikiwa na miaka 4 napata akili namuona mama angu na kwenda kabulini kwa baba na mama ila hisia maelezo naambiwa nimefanana na mzee!kwa kifupi baada ya kufariki mzee maisha...
  14. sindesunde

    Mafundi wenzangu nahitaji display

    samsung j320 au 2016 nahitaji display kwa mlikua Dar nielekezeni maduka ya bei poa maana simu yangu nimeangusha na huku nimekuja kusalimia.
  15. sindesunde

    Msaada jamani nikila chakula nasikia njaa baada ya muda mfupi

    Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi maana maisha yenyewe ya kubaingaza sasa pesa inakatikia katika milo isio na idadi. Naomba ushauri...
  16. sindesunde

    Walevi sugu tukutane hapa

    Wale walevi sugu tukutane hapa maana ya kua mlevi sugu lazima kila siku tutupie njooni tupeane maujuzi
Back
Top Bottom