Msaada wa kupata kazi ya ufundi wa simu

Msaada wa kupata kazi ya ufundi wa simu

sindesunde

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
358
Reaction score
355
Wakuu nisiwachoshe mie ni fundi wa simu ninahutaji mtu anisadie hata pakufanyia kazi au tufanye kazi nalazimika kuomba huu msaada nimekutana na mtihani wa kusimbewa kilakitu nilivyokua nimesafiri.

Nimerudi nyumbani patupu yaani bora ningeachiwa vitendea kazi lakini vyote vimekombwa.

Sasa naombeni msaada kwa aliye Dar anisadie pa kufanyia kazi, nipo pande zote software & hardware. Mengi tuongee katika simu 0622100690
 
Nichek inbox....tufanye kazi ila ni mkoani.
 
Back
Top Bottom