sindesunde
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 358
- 355
Tujikumbushe muvu za zamani kidogo mie naanza na hii kitu
Hii movie kipindi hicho nilikuwa nimeicheki kibanda umiza ikitafsiriwa na Rufufu mkandalaTujikumbushe muvu za zamani kidogo mie naanza na hii kitu
View attachment 1514027
Kick Boxer, opponent wake Tong Po. Nilikuwa nashinda nazo hizi weekend. Halafu huyo babu trainer "Uncle Zien" ana miujiza pia, kazi na dawa.Tujikumbushe muvu za zamani kidogo mie naanza na hii kitu
View attachment 1514027
Hii stori yake imefanana kama enzi hizi za CORONAcyborg niliipenda zaidi
Tujikumbushe muvu za zamani kidogo mie naanza na hii kitu
View attachment 1514027