Kawe iko wapi jamani Dar or Mkoani

sindesunde

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
358
346
Inasikitisha maisha ya Kawe yakawa ya uswazi sana eti Kawe inakua na mnada kila Jumamosi kama huku mkoani hebu niambieni Kawe si ndio karibu na Mbezi beach! mnatia auibu watu wa huo mkoa bora muhamie huku kwetu siku ya mnada tunapiga nyama choma nk.

Dar kweli watu wa Kawe njooni hapa mnanichanganya sana
 
Hapa hakuna picha ila kama ndio hvyo mlivyo sio poa bora unga limited iko poa
 
Back
Top Bottom