Search results

  1. E

    Kidonda kwenye kichwa cha uume

    Salaam wa mwezi sasa kimetokea kidonda kwenye njia ya uume pale uwazi, kidonda hiki hakiumi nilienda fanya urine culture na UTI hawajaona tatizo pamoja na blood culture hawanaona tatizo niliambiwa damu safi kabisa na mkojo hakuna mdudu aliyeota. Samahani kwa pocha kama itawasumbua. Naombeni...
  2. E

    Mac book pro inauzwa

    Mac book pro 2012 . Core i 5, 256 ssd, 8gb ram, 13inch 2.3 ghz , inwtumika mwaka mmoja. bei 850k negotiatable ukihitaji 500gb hdd badala ya 256 ssd nakuwekea bila wasi wasi. Bei maelewano karibun sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    Oral interview TPA

    Kwanza hongereni TPA na sekretariet ya ajira kwa mchakato mzima ambao hakuna hata chembe wala harufu ya rushwa na upendeleo, Jana tulifanya oral na kuambiwa tutapewa feedback hakuna hata mwenzangu mmoja ninayefahamiana naye tuliekuwa oral kama upo humu nicheki tuwasiliane pindi tukipigiwa simu.
  4. E

    Tupeane uzoefu mchujo wa sekretariet ya ajira.

    Habari wakuu kwa waliowahi fanya usaili sekretariet ya ajira ni aina gani usaili inakuwa ni zile aptitude test au ni maswali ya darasani kwa profesheni yako Ahsante sana nitakieni kila la kheri mtaani kwa moto balaa.
  5. E

    Screen ya tecno L5 inatakiwa

    habari natafuta screen ya teno L5, nipo dar njoo PM nitajie na bei
  6. E

    Natafuta internship ya IT Dar es Salaam

    Heshima kwenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume miaka 25 nimemaliza chuo mwaka jana IT level ya degree. Kutokana na ugumu wa soko la ajira sijafanikiwa kupata mahali pa kujishikiza. Kwa yoyote mwenye nafasi ya kunisaidia naomba anisaidie nafasi ambayo naweza kutumia kujijenga na kuimarisha uwezo...
  7. E

    Natafuta internship (I.T) dar es salaam tu.

    Heshima kwenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume miaka 25 nimemaliza chuo mwaka jana I.T level ya degree kutokana na ugumu wa soko la ajira sijafanikiwa kuapata mahali pa kujishikiza. hivyo kwa yoyote mwenye nafasi ya kunisaidia naomba anisaidia nafasi ambayonaweza kutumia kujijenga na kuimarisha...
  8. E

    Postgraduate ya Education Open University

    Habari wakuu, nilisoma degree yangu ya kwanza kozi ya I.T kutokana na ugumu wa ajira nimefikiria kusoma postgraduate open university kwenye kada ya ualimu chuo kikuu huria, je huku nako ajira ni za moja kwa moja kwa style ninayotaka kutumia kwani sihitaji kukaa tena chuoni nataka niwe mtaani...
  9. E

    Natafuta internship, nina shahada ya ICT

    Rejea mada hapo juu, naomba kuwasilisha ombi la internship kwenye makampuni au ofisi inayohusi nafasi ya I.T kwa taarifa hapo chini. Sex: Male Age: Adult Education: bachelor degree. Skills - Web development . - Programming (languages: Java, C++, ). - Internet programming (language...
  10. E

    Natafuta internship viettel au kampuni yoyote ya I.T

    Heshima kwenu wote, Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza degree yangu ya kwanza chuo kikuu cha dodoma Bsc. software engineering Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye kampuni yoyote ya I.T nifanye kazi kwa kujitolea na kupata ujuzi huku nikishughulikia masuala mengine...
  11. E

    Natafuta internship viettel au kampuni yoyote ya I.T

    Heshima kwenu wote, Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza degree yangu ya kwanza chuo kikuu cha dodoma Bsc. software engineering Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye kampuni yoyote ya I.T nifanye kazi kwa kujitolea na kupata ujuzi huku nikishughulikia masuala mengine...
  12. E

    Blog inauzwa ina adsense na dollar 6 kwenye account

    Habarini wadau ninauza blog yangu ina matangazo ya google adsense na dollar 6 kutokana na majukumu kuwa mengi nimekuwa nashindwa kufanya update kwa aliye tayari ani pm nimpe link kazi yako itakuwa ni kupost tu nakupa ownership ya account. au nicheki kwa namba: 0652861968 bei ni ndogo sana.
  13. E

    Msaada: Nahitaji kufanya biashara ya blog

    Habari zenu wadau, Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazan muda mwingi nautumia mtandao hivyo hii shughuli itanifaa naomba kwa wanaojua biashara hii kwa maeneo yetu tulipo inafanyikaje mpaka...
  14. E

    Msaada: Nahitaji kufanya biashara ya blog

    Habar zenu wadau, Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazani muda mwingi nautumia mtandao hivyo hii shughuli itanifaa Naomba kwa wanaojua biashara hii kwa maeneo yetu tulipo inafanyikaje mpaka...
  15. E

    a java programm with try and catch mechanism

    msaada kwa swali hapo chini. Write Java class(es) which accept ten (10) integer values ranging between zero (0) and a hundred (100), calculates the average mark, assigns an appropriate grade to the average mark and outputs the average mark with the corresponding grade (use the university...
  16. E

    Naomba kufahamu bei ya mashine ya kusafishia picha

    habari wadau, ninaomba kufahamu bei ya ya mashine ya kusafishia picha kwa anefahamu kuna mtu anahitaji sana ushauri ili akamilishe studio yake ukinileza na namna ya kupata nitashukuru.
  17. E

    Ushauri wako unahitajika!!!!!

    kuna mdada nampenda sana tupo naye chuo kimoja japo college tofauti juzi nilimtumia meseji ya kutakata awe gf wangu leo amenijibu kama ifuatavyo. "samahani kwa kuchelewa kukujibu nahitaji mume kwa sasa na si bf na awe wa imani sawa na mimi " yeye ni msabato ninashindwa niendeleaje dini zetu ni...
  18. E

    DRIVER ZA CANON iR2016

    Habari wadau natafuta griver za mashine hiyo hapo juu nahitaji kuitumia kama printer kutoka kwenye pc lakini nikidownload driver zake zinakuja kama .zip zina shindwa ku execute mwenye link ambayo naweza pata hiyo software anisaidie. Thanks in advance.
  19. E

    Unaweza kumgundua msichana aliye loose virginity soon.

    Habar gan wana jf? Nina gf wangu ambaye npo naye foq 1yr na kuhsu mapenzi anadai mpaka amalze ckul koz akianza watamgundua zaid ya hapo anadai wanapopelekwa kupima manesi huwa wanamsifia kwa kujitunza so akianza watamgundua jamani hii ni kwel au anapoteza muda wangu. Naomba ushauri wenu.
  20. E

    Kiwango cha mkopo ni kwa mwaka au miaka yote

    Habari wana jf ninatatizwa na kiwango cha fedha kilichotolewa na bodi kuna watu hyo fedha inazidi gharama ya koz kwa miaka yote mitatu e.g jamaa yangu kapewa 3,147,500 na gharama ya koz/mwaka (LL.B) ni 950,000 je hv viwango wamejumulisha na mahtaji mengne kama meal allowance etc.
Back
Top Bottom