Msaada: Nahitaji kufanya biashara ya blog

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
157
225
Habar zenu wadau,

Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazani muda mwingi nautumia mtandao hivyo hii shughuli itanifaa

Naomba kwa wanaojua biashara hii kwa maeneo yetu tulipo inafanyikaje mpaka ikuletee faida kabisa jinsi ya kupata viewer wengi kwenye blog yangu.

Natanguliza shukrani,
 
Mathematician

JF-Expert Member
Nov 8, 2009
325
195
habar zenu wadau,

Kutokana na uhaba wa ajira tz sio siri kujiajiri ndi suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazan muda mwingi nautumia mtandao hivyo hii shughuli itanifaa naomba kwa wanaojua biashara hii kwa maeneo yetu tulipo inafanyikaje mpaka ikuletee faida kabisa jinsi ya kupata viewer wengi kwenye blog yangu.

natanguliza shukrani,
Wenzako wanasambaza picha za uchi wawapoteze wana wa adamu. Wewe tafuta mtoko mwingine, usimsaidie shetani kuharibu jamii
 
KoreaKaskazini

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
219
0

wazo zuri kama umeamua kujiajir kwa kupitia njia hiyo lakin opinion zangu ni kwamba ili uwe climax katka mlengo wako ni lazima ujarib ku-import sana naked image ili ziwe na viewerz wengi hapo utafanikiwa kwa kiasi flan japo utakuwa unakipoteza hiki kizaz cha nabii adam
 
Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
157
225
wazo zuri kama umeamua kujiajir kwa kupitia njia hiyo lakin opinion zangu ni kwamba ili uwe climax katka mlengo wako ni lazima ujarib ku-import sana naked image ili ziwe na viewerz wengi hapo utafanikiwa kwa kiasi flan japo utakuwa unakipoteza hiki kizaz cha nabii adam
nazan hapoa nitavutia watu wengi ila nitakuwa contrary na policy za google.
 
Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
157
225
Wenzako wanasambaza picha za uchi wawapoteze wana wa adamu. Wewe tafuta mtoko mwingine, usimsaidie shetani kuharibu jamii
picha za uchi google hawaruhusu na mtoko mwingine kama upi mkuu nishauri hasa masuala ya mitandao i.e I.T
 
Bisansaba

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
293
250
picha za uchi google hawaruhusu na mtoko mwingine kama upi mkuu nishauri hasa masuala ya mitandao i.e I.T
Mimi nina blogu lakini haipo kibiashara, ila sasa nafikiria pengine niiweke kibiashara.
Mpaka sasa hivi nina page views 112,959 na [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kwa[/FONT] siku watu zaidi ya 250 na kwa mwezi watu zaidi ya elfu 10 wanatembelea blogu yangu. Unadhani hii inaweza kuwavutia watu wanaotaka kutangaza biashara zao?
 
Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
157
225
Mimi nina blogu lakini haipo kibiashara, ila sasa nafikiria pengine niiweke kibiashara.
Mpaka sasa hivi nina page views 112,959 na kwa siku watu zaidi ya 250 na kwa mwezi watu zaidi ya elfu 10 wanatembelea blogu yangu. Unadhani hii inaweza kuwavutia watu wanaotaka kutangaza biashara zao?
yap lakin njia ya uhakika upo google adsense kwa page view hizo unaweza tengeneza pesa
 
LIBRARY

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
234
0
Habar zenu wadau,

Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazani muda mwingi nautumia mtandao hivyo hii shughuli itanifaa

Naomba kwa wanaojua biashara hii kwa maeneo yetu tulipo inafanyikaje mpaka ikuletee faida kabisa jinsi ya kupata viewer wengi kwenye blog yangu.

Natanguliza shukrani,
Jaribu kupitia hapa TENGENEZA BLOG YENYE WASOMAJI WENGI (HIGH TRAFFIC BLOG) - ChapishaChapisha
 
Udakuz

Member
Feb 4, 2013
77
125
Habar zenu wadau,

Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazani muda mwingi nautumia mtandao hivyo hii shughuli itanifaa

Naomba kwa wanaojua biashara hii kwa maeneo yetu tulipo inafanyikaje mpaka ikuletee faida kabisa jinsi ya kupata viewer wengi kwenye blog yangu.

Natanguliza shukrani,
Call This Guy ...0714604974 atakusaidia .....
 
godimpare

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,672
2,000
nami naomba mnipe maelezo ya mwanzo kabisa mpaka nipate nami blog vp kuhusu gharama na mambo mengine kama faida n.k
 
Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
923
1,000
Napenda sana nami kumiliki blog hivyo nilikuwa naomba ushauri wa namna yakuendesha blogs, gharama zake na faida kwa ujumla na hata hasara.Naomba kuwasilisha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom