Kiwango cha mkopo ni kwa mwaka au miaka yote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwango cha mkopo ni kwa mwaka au miaka yote

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Estyzo, Sep 1, 2011.

1. E

Estyzo Senior Member

#1
Sep 1, 2011
Joined: Jul 24, 2011
Messages: 140
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
Habari wana jf ninatatizwa na kiwango cha fedha kilichotolewa na bodi kuna watu hyo fedha inazidi gharama ya koz kwa miaka yote mitatu e.g jamaa yangu kapewa 3,147,500 na gharama ya koz/mwaka (LL.B) ni 950,000 je hv viwango wamejumulisha na mahtaji mengne kama meal allowance etc.

2. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#2
Sep 1, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,370
Trophy Points: 280
Samahani kwa kuwa out of topic...waliopata mikopo wameshatangazwa?

3. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#3
Sep 1, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45

mkuu tena kabla hujachek jina piga sala vizuri, cz hyo mikopo ilivyotolewa wazaz wako watakufa kwa pressure.

4. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#4
Sep 1, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,370
Trophy Points: 280

duh, mbona wanishtua weyeee! Imetoka lini? Nikienda ktk web yao nitayaona?

5. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#5
Sep 1, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,370
Trophy Points: 280
Duh, wamenipa 3,475,500.00 coz inaitaji 1,300,000 per year..hata mimi sielewi wamepigaje mahesabu, ni kwa mwaka au miaka mitatu!

6. G

GHANI JF-Expert Member

#6
Sep 1, 2011
Joined: Feb 18, 2011
Messages: 685
Likes Received: 7
Trophy Points: 35

hiyo ni kwa mwaka hapo kuna meal and accomodation

7. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#7
Sep 1, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,370
Trophy Points: 280
Thanx mate. Hata mimi nadhan hivyo hivyo

8. anjnr

anjnr JF-Expert Member

#8
Sep 1, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 483
Likes Received: 12
Trophy Points: 35
Nilisikia kwamba kozi za sayansi (afya) ni miongoni mwa zinazopewa kipaumbele lakini mimi nimekosa mkopo sijui inakaaje hii!

9. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#9
Sep 1, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,370
Trophy Points: 280
mimi sielewi wametoaje maana kuna watu wanastahili mkopo mwingi na waliahidiwa mikopo itaongezwa kwao lakini nashangaa wamepewa kidogo..

10. JMC prod

JMC prod Member

#10
Sep 1, 2011
Joined: Aug 4, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Jamani cjui hata mimi híi inakuaje cs nimepewa am0unt ambayo ina aford ada 4 3years

11. data

data JF-Expert Member

#11
Sep 1, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 16,776
Likes Received: 6,542
Trophy Points: 280
mie giza tu..

12. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#12
Sep 1, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
mmesoma st st mnadhan mtapata mikopo

13. MBUFYA

MBUFYA JF-Expert Member

#13
Sep 1, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 445
Likes Received: 1
Trophy Points: 33

MEALS AND ACCOMODATION NI 1800000 KWA MWAKA,HAPO BADO KUNA UTATA

14. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#14
Sep 1, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45

masaburi yako!

15. D

Davidgwakisa Member

#15
Sep 1, 2011
Joined: Aug 29, 2011
Messages: 8
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
inamaana kama huna mkopo hata 7500 ya kujikimu hupat? na accomodation je?

16. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#16
Sep 1, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

hupati kitu

17. E

Estyzo Senior Member

#17
Sep 1, 2011
Joined: Jul 24, 2011
Messages: 140
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
sasa mkuu wale ambao wamekosa mkopo ina maana na meal allowance na accomodation hawapati?

18. E

Estyzo Senior Member

#18
Sep 1, 2011
Joined: Jul 24, 2011
Messages: 140
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
nimecheki na kiasi nilichoona ndio kinachotatiza cause nimepewa 3847500/ ambacho ni kikubwa sana kwa mwaka (kozi yangu ina gharimu 1,300,000/=) + boom 180000/= kwa mwaka) na kama ni kwa miaka yote wana uhakika gani na perfomance yangu kama nitamaliza.

19. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#19
Sep 1, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 15,055
Likes Received: 3,084
Trophy Points: 280
Fanya 8000 (meal&acc) * siku 240 (2sms) mwaka1 ,inayoongezeka hapo ndo ada ya masomo yako kwa mwaka hapo chuoni...right??

20. G

GHANI JF-Expert Member

#20
Sep 1, 2011
Joined: Feb 18, 2011
Messages: 685
Likes Received: 7
Trophy Points: 35

hawapati chochote, wanahesabika kama vile hawaku apply au niseme hawana vigezo vya kukopeshwa, ila kwa wale wenye hoja zenye nguvu wanaweza ku appeal na wakafanikiwa,pia waweza kuwa hukupata mkopo kwa sababu mbalimbali may be 1)fomu za ku apply hazikufika 2)hukuambatanisha baadhi ya nyaraka,nk.pia mkifika chuoni Kama Umepata Udsm daruso hua wanasaidia kushughulikia na vyuo vingine vina taratibu zao kupitia uongozi wa wanafunzi so msife moyo hata hao waliokosa zaidi ya nusu wanaweza kufanikiwa baadae.

Loading...