Natafuta internship viettel au kampuni yoyote ya I.T

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
159
225
Heshima kwenu wote,
Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza degree yangu ya kwanza chuo kikuu cha dodoma Bsc. software engineering Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye kampuni yoyote ya I.T nifanye kazi kwa kujitolea na kupata ujuzi huku nikishughulikia masuala mengine ya ajira, nipo tayar kufika mkoa wowote.

MAENEO NINAYOFIT FIT.
1. NETWORKING.
2. PROGRAMMING (JAVA, C++, PHP, JAVASCRIPT, HTML5,MYSQL)
3. COMPUTER REPAIR AND MAINTANANCE.
4. I.T technician.

Mbarikiwe wote na nawatakia mfungo mwema wa ramadhani.
 
bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,350
2,000
Heshima kwenu wote,
Mimi ni kijana wa kiume Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye kampuni yoyote ya I.T au kama unaweza kunisaidia kupata nafasi kwa hawa jamaa wa viettel nitashukuru sana. nipo tayari kufanya internship mkoa wowote ule.

Mbarikiwe wote na nawatakia mfungo mwema wa ramadhani.

Hopeless
 
CHIEF JJ

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,012
1,225
Heshima kwenu wote,
Mimi ni kijana wa kiume Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye kampuni yoyote ya I.T au kama unaweza kunisaidia kupata nafasi kwa hawa jamaa wa viettel nitashukuru sana. Nipo tayari kufanya internship mkoa wowote ule.

Mbarikiwe wote na nawatakia mfungo mwema wa ramadhani.
i
unataka hadi viettel? duh jotafutie mwenyewewe tuu
 
mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,127
2,000
Heshima kwenu wote,
Mimi ni kijana wa kiume Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye kampuni yoyote ya I.T au kama unaweza kunisaidia kupata nafasi kwa hawa jamaa wa viettel nitashukuru sana. Nipo tayari kufanya internship mkoa wowote ule.

Mbarikiwe wote na nawatakia mfungo mwema wa ramadhani.[/QUO
Uko mkoa gani na umesomea course gani,then interniship sio Vietel tu,change your mind,mtu kama anahitaji kukusaidia kampuni ingine si anakupiga kapuni mkuu,
then Viettel kwasasa hata hiyo nafasi ya IT huwezi pata,kwasababu wanakaribia kumaliza kufunga minara yao,labda business/marketing/sales utapata, vua hiyo mind usijifungie gereza
 
thanks mkuu nipo dodoma nimesoma software engineering niliandika pia kampuni yoyote thanks for your reply and concern.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom